Naomba msaada au ushauri kwa haya yanayonisibu

Naomba msaada au ushauri kwa haya yanayonisibu

Mkuu Cjuituna shida moja au VP mm huw nawek malengo then naanz kukusany pesa chaajab kila ninapo karibia lengo linatokea tatizo kwaiyo ile pesa inaend kwenye lile tatizo
 
Ahsanteni nyote kwa ushauri wenu mzuri na wenye kutia moyo.
Mungu awabariki na awazidishieni mioyo ya imani na huruma. Amin
 
Mkuu Cjuituna shida moja au VP mm huw nawek malengo then naanz kukusany pesa chaajab kila ninapo karibia lengo linatokea tatizo kwaiyo ile pesa inaend kwenye lile tatizo
Au pia mpaka zile hela unazo Changa changa ziishe ndio zinaanza kuonekana tena
 
Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.

Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
Mada kubwa Ila umeielezea kwaufinyu Sana
 
Haupo peke yako. Na itakutesa zaidi kama umesoma na wenzako waliosoma wameshafinikiwa.

Muda mwingine familia tunazotoka zinaongeza presh kwetu ila kitu chakufanya kabisa, Piga goti usiku mlimlie sana Mungu. Hakikisha Kila asubuhi unaongea na mama Yako Kwa furaha.

Kama yupo karibu mkumbatie ,mpende muoneshe upo japo huna kitu. Waone marafiki wambie wewe unapitia kipindi kigumu unawahitaji.

La mwisho,tafuta mwanamke anayejielewa na mwenye uwezo, Muombe akuzalie mtoto. Wanawake hao wapo unahitaji ujasir,hakuna sababu Tena ya wewe kuchelewa kuzaa. Wanawake wapo wa Kila aina wanaohitaji wanaume.

Mwisho ya yote,hakuna muda sahihi wa kufanikiwa,It is just a matter of time!!!
Ijumaa Kareem
Allah Ibaarik
Hivi nadhani kuna nguvu kubwa yakuongea namama wazee,kuongea namzazi hua kunanifanya nakua mwepesi wamwili nahua na Amani yamoyo kabisa
 
Hivi nadhani kuna nguvu kubwa yakuongea namama wazee,kuongea namzazi hua kunanifanya nakua mwepesi wamwili nahua na Amani yamoyo kabisa
MAMA NI TIBA Ya KILA UGONJWA,,MAMA NI FARAJA IPENYAYO KILA MSHIPA wA DaMU.
 
Duh! [emoji23][emoji23][emoji23]. Kazi Africa tunayo

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]utachoka kuwaelewesha ndugu...watu hawajui nguvu kubwa ipo ndani ya mtu binafsi ..unatengeneza maisha yako mwenyewe kwa namna unavyo fikiri na kujiona..
Mleta mada huyu anahitaji kubadilika asitafute huruma atoke kwenye ulimwengu hasi aje upande chanya...
Mimi nilibadili aina ya maombi ya kuomba zamani nilikuwa type ya kufunga tatu kavu nk
Maombi yangu kwa sasa ni shukrani na kumsifu Mungu kwa mambo yake ya ajabu,aina hii ya sala ni short naweza kufanya nikiwa kazini au nimekaa muda wowote kwa ufupi sana
Sadaka yangu ni kwa wahitaji
Nina sababu ya kwanini nimekua hivyo ila inahitaji nguvu kutoka upande mmoja kuja mwingine
 
Back
Top Bottom