Kwanza kabisa pole, usiwe pressurized na kuona km looser sababu your not ni kitendo cha muda tu kila kitu kitakaa sawa, kwanza kabisa nakusisitiza yaani hili ukilifanya utaona mabadiliko makuu...jaribu kuweka hata alarm uwe unaamka usiku mida ya kuanzia saa saba na nusu usiku mpk saa tisa usiku..OMBA MUNGU, I mean it OMBA MUNGU, kwa nini mida hiyo? Sababu ni muda ambao anga limetulia upande wa Mungu ila upande wa nguvu za giza mambo ndio yanashamiri hivyo ni muda mzuri sana wa Mungu kusikia sala zako.
Omba Mungu utavyoweza tena bila formula yaani omba tu mlilie Mungu kwa yote yanayokusibu..omba akuvushe na shukuru Mungu kwa imani kua atakufanikisha tu, yawezekana usijue utafanikiwa vipi ila trust me atakufanikisha tu.
Pili, epuka kukaa au kuhang out na watu waliokata tamaa au wanaokukatisha tamaa sababu kwenye maisha kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa...pia penda kukaa na company ya watu waliofanikiwa hata km haupo nayo karibu jaribu kwenda kwenye bar za maana au lounges, nimesema za maana sababu hata watu wataokua wanafika hapo ni wa maana pia hata km ww si mnywaji we nenda tu jichanganye na km unakunywa nunua hata bia zako mbili mwezi hautapita bila kupata mchongo wa maana au hata mawazo ya maana.
Tatu, wanawake tupo wengi ila wachache ndio sahihi so usitumie nguvu nyingi usije ukaokota tapeli..we relax tu jenga urafiki na mabinti tofauti anza na mazungumzo ya kawaida ya urafiki mwanamke sahihi utamjua tu kwa mwenendo na matendo yake...RELAX,mke utapata na watoto utapata.
Mwisho, ukiwa unaomba Mungu usisahau kuomba kufunguliwa vifungo vyovyote km unavyo unavyojua na usivyovijua, omba kibali cha kukubalika mbele za watu na omba ulinzi dhidi ya mabaya yote juu yako..niamini ninachokwambia Mungu anasikia.
All the best, I advised all of that from my personal experience.