Mbona wewe siyo mlumbi? ''Kujisajiri'' ndiyo nini?Sawa mkuu, ila ulumbi ni uhodari wa kutumia lugha kiufasaha, kwahiyo mtu anaeongea lugha ya kiswahili na kuiandika vizuri mbele ya hadhira huyo anaitwa mlumbi.
So nilipita na hilo jina kwakua ni platform ya contents zinazotumia lugha yenye kueleweka kwa wasomaji au hadhira.
Na hio Domain Name fanya ubadirishe tafuta jina lenye kuita watu tena na tena, think and think and think again upate attractive and welcoming easy-to-remember Domain NameSawa mkuu... Itakaa sawa.
Kweli Mimi bado Niko na shida kwenye lugha zote kwa maana sina lugha ninayoiweza kuiongea na kuiandika kiufasaha bila kufanya makosa lakini naamini walumbi wakijaa humo ndani basi nitaendelea kujifunza kupitia contents zao na labda baada ya mwaka au miaka kadhaa namimi naweza nikawa mmoja wao, ni nani ajuaye?Mbona wewe siyo mlumbi? ''Kujisajiri'' ndiyo nini?
Ulumbi ni lugha ya watu na ni wakina nani? Unajua unapoanzisha kitu weka kitu open lugha inayoeleweka na watu wote mfano amazon, JamiiForums, Facebook, nk what is Ulumbi?Kweli Mimi bado Niko na shida kwenye lugha zote kwa maana sina lugha ninayoiweza kuiongea na kuiandika kiufasaha bila kufanya makosa lakini naamini walumbi wakijaa humo ndani basi nitaendelea kujifunza kupitia contents zao na labda baada ya mwaka au miaka kadhaa namimi naweza nikawa mmoja wao, ni nani ajuaye?
Ulumbi ni kitendo cha kuandika au kuongea lugha fulani kwa ufasaha kwa hadhira.Ulumbi ni lugha ya watu na ni wakina nani? Unajua unapoanzisha kitu weka kitu open lugha inayoeleweka na watu wote mfano amazon, JamiiForums, Facebook, nk what is Ulumbi?
Udoho udoho ndo nn? 😂😂😂😂Sidhani😅... Ulumbi ni sanaa ya kuchezea lugha kwa namna Bora ila udambu udambu unaweza ukawa sawa na udoho udoho hivi😂😂
Khee kumbe?! LOLHiyo ndio mnaita Bites kwa kiinglish.😅😅
Kucheza na lugha?Ulumbi ni kitendo cha kuandika au kuongea lugha fulani kwa ufasaha kwa hadhira.
Pia Theme jitahidi iwe ya Kitamadun zaidi.Yeah ule uhodari ndio huitwa ulumbi... Nimejaribu kuweka lazy loading so naomba ukipata wasaa uingie tena ili uniambie imekaaje sasa hivi
Hili nimelichukua kwa mikono miwili mkuu... Shukrani kwa ushauri huu mzuri.Pia Theme jitahidi iwe ya Kitamadun zaidi.
Weka rang au picha zenye muonekano wa asilia ya Kiafrika zaidi.
Maana story ming pia zitakuwa za Uhalisia wa kiafrika. Fanya wahusika wote wakiingia wajione wako Nyumban.
Naona themes imekaa kizungu
Eeeh.Hili nimelichukua kwa mikono miwili mkuu... Shukrani kwa ushauri huu mzuri.