Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Unazungumzia aucho egypt kua alikua kwenye mgogoro kua ndio sababu ya kutokuwekwa hata kwenye squad as if kwamba angekuwepo angeleta impact, wakati katika hizo mechi tatu alizocheza na timu yake ya taifa kwa dakika zote 90 hakuna goli wala assist aliyopata zaidi ya yellow card?

Yani kutoka 2013-2021 mshkaji ana assit 2, halafu bado mnamuita mchezaji si utani huu?
Aucho ni DLM na wala sio AMF wala CAM

Kazi kubwa ya DLM ni kuchezesha timu na kuhakikisha timu inatoka nyuma na mpira na inakwenda mbele.

Kwa mpira wa kisasa wa hii karne,DLM ndo ana link mabeki na viungo washambuliaji au mawinga.

Kwahyo kwa position yake ni ngumu kushinda au kutoa assist.

Aucho ni kama Xhaka pale arsenal,Kama Sergio bosquet pale Barca,Rodrigo pale man city au jorginho pale Chelsea.
 
Hakuna kiungo yoyote wa chini kwa apa Tanzania si Kwasasa Ila kwa miaka ya hivi karibuni anaye mkaribia Aucho.
Jamaa ana nguvu lakini anacheza kwa akili sana mtu wa mwisho katika mpira wa bongo ambaye kwa akili na Kasi ana mzidi Aucho ni marehemu Method Mogela Ila kwenye nguvu ata method anazidiwa.

Achana na akina chuji au Matola jamaa anawazidi sana. Uyo Thadeo Lwanga kwenye timu ya taifa ana sugua kwa Aucho. Sipati picha Aucho na Mukoko wakicheza pamoja kitatokea Nini. Mkude ata katika viungo Bora kumi wa chini walio wahi kutokea Simba hawezi kuwemo.
Acha ujinga.
Ukiondoa Seleman Matola hakuna kiungo mwingine aliyecheza kwa mafanikio makubwa pale Simba kama Mkude

Na mpaka sasa kwa karne ya 21 hakujatokea hapa Tanzania midfielder bora kama Mkude.

Katika Ligi kuu ya Tanzania kuna wachezaji watatu tu wa kigeni wenye uwezo unaofanana ambao huwezi kulinganisha na wengine.
1.Clatous Chama
2. Patrick Mutesa Mafisango
3. Haruna Niyonzima.
 
Acha ujinga.
Ukiondoa Seleman Matola hakuna kiungo mwingine aliyecheza kwa mafanikio makubwa pale Simba kama Mkude

Na mpaka sasa kwa karne ya 21 hakujatokea hapa Tanzania midfielder bora kama Mkude.

Katika Ligi kuu ya Tanzania kuna wachezaji watatu tu wa kigeni wenye uwezo unaofanana ambao huwezi kulinganisha na wengine.
1.Clatous Chama
2. Patrick Mutesa Mafisango
3. Haruna Niyonzima.
Kwanza Niku ulize, mkude ni kiungo wa kumshambulia au kiungo wa kuzuia maana tusije tukawa tuna tofautiana uelewa!!!.
 
Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
Ur talking as a gay man who is in love with Khalid Aucho.. acha ushoga.

Mwanaume unamsifia vp mwanaume MWENZAKO kiasi hicho
 
Ur talking as a gay man who is in love with Khalid Aucho.. acha ushoga.

Mwanaume unamsifia vp mwanaume MWENZAKO kiasi hicho
Mkuu mie kingereza sikijui,ndo kumaanisha umenitukana tusi jipya?,punguza hasira mkuu,maisha ni maraisi sana.
 
Inawezekana yupo yanga na pia kama timu huoni kinachofanyika labda kwa mapenzi yako na timu fulani..lkn penye ukweli jaribu kukubali tu,uwezo wa mchezaji mmoja mmoja Aucho ni kiungo hodari sana kuanzia mikimbio yake mpk pasi zake...

labda unaweza usipate unachotaraji kulingana na muunganiko wa timu au mfumo wa mwalimu tu..

mbona mashabiki wa yanga wanamkubali sana kiungo fundi Bwallya,hata Chama alikubalika sana na wana yanga..sasa kwann mtu anapotoa mtazamo kwa Aucho yani unapingaaaa kisa yupo timu pinzan

mlivokua hamna akili sasa akisajiliwa simba utamsifia hapa hadi unye iwe kama yale ya Morrison mlivo mkataa akiwa yanga.

Mtoa mada kongole kwako kwa kuweka unafki pemben na kuongea ukweli
Fact hao mashabiki wa makolo ttzo lao wamejimilikisha kila zuri liwe upande wao wapuuzi sana binafsi nampongeza hyu mtani katiloa mawazo yake kimpira hasa sio ushabiki
 
Mkude anacheza nafasi hiyo hiyo anayocheza Aucho

Unasemaje?
Mkude na Aucho ni mbingu na Ardhi, mkude afikii ata uwezo wa chuji achana na Aucho. Khalid Aucho ana CAPS 50 za nationational team ya Uganda ambayo kwenye Ranks za Fiffa Uganda Ina soma 74-76 kwa miaka Mingi achana na sisi wa 130-140.
Aucho amecheza Ligi Uganda, Kenya, South Africa, Serbia, India, Missi n.k. ivi kweli uta mfananisha na mkude Ambaye National Team hafikishi CAPS 20 tangu aanze kucheza Soka.
Mkude ni Kiungo wa ulinzi ambaye hanasifa ya kuruka juu, ku press opponent, kunyang'anya mipira, kupiga penetration pass mda wote aki kabwa pass ya Kwanza inarudishwa nyuma.
Ndio maana anaweza akaitwa timu ya taifa na anaishia bench.
 
mchezaji wa maana hawezi kubali sajiliwa na yanga. yaani asionekane kinataifa, asitake mshahara mkubwa kama wa miquison au chama. huo ni ujuha. fei tangu acheze yanga hajachukua ubingwa na wala hamna timu hata moja ya nje iliomtaka.
Hata Morrison alivyokuwa Yanga alipondwa sana kuwa hajui mpira zaidi ya kuupanda mpira. Leo hii yupo Simba kila mtu anamwona ndio Star wa Simba kuliko mchezaji yeyote. Binadamu ndivyo tulivyo!
 
Back
Top Bottom