Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

Tech? Ni website? Naanzaje kuingia? Yaani mkuu mimi ni layman kabisa na sijui nianzie wapi? Sijui nianze na kuandika articles au la!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Tech ni broad

Kuna mambo ya websites na ndani yake kuni tawi mbili.La kwanza inaitwa Front end development hiyo inadeal na muonekano wa websites na la pili linaitwa Backend Development hiyo inadeal na servers(yaani kudeploy website yako on the internet ili iwe accessible to users ) na ukiwa nazo mbili unaitwa Full Stack Developer....hii inatakiwa ujue HTML, CSS , Javascript na frameworks zake kama React, Nextjs, Angular , node.js n.k

Mara nyingi ukiskia mtu ni techie basi yupo kwenye hii website development kwa hiyo using that logic u can see its highly competitive kwa sababu ina low barriers of entry
Ukitaka kujua hii utaisoma kwa documentation Google MDN documentation na utaona sehemu ya hizo vitu zote nimetaja

Ile ambayo I recommend highly ni artificial intelligence kwa sababu ina pesa from practical experience....within 1 year after umefanya kazi assuming u start from nothing tayari utakuwa upper middle class na ukifanya 2-3 yrs basi utatajirika tu.
Lakini ni challenging kwa kiasi fulani inabidi ujitolee sana uwe consistent na disciplined ,persistent usigive up. Ni challenging sana lakini si ngumu...mtu yeyote mwenye logical thinking ya above average na uelewa wa hisabati kiasi cha wastani anaweza kumudu.

Artificial intelligence unadeal na vitu ambazo zinaitwa neural networks , they try to mimic how the human brain works ili kufind patterns in data.

Artificial intelligence ina tawi zifuatazo:
1. Kuna tawi la kudeal na numerical analysis yaani u find trends in data that is in numerical form....mfano predicting real estate prices hiyo ni a very simple example tu ile uelewe

2. Working with text data. Hii inaitwa Natural Language processing na inadeal na analysing data that is in words or speech. Mfano kule twitter unaweza taka kufanya analysis ya tweets ili kuona kama hii news ya Chalamila kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ilipokelewa aje na watu kwa kutumia hilo jina Chalamila kama keyword ....was it positive or negative? Hii ni kitu kinaitwa sentiment analysis. Nafikiri unafahamu computers only understand 1 or 0 kwa hivyo kuna process ambayo tunatumia kuconvert words into numbers ambayo inaitwa encoding.
Example nyingine ni kuunda Chatbots zenye zinaelewa mambo na kujibu maswali kama binadamu

3. Computer vision hii inadeal na video and image data. Mfano crime detection in cctv mfano mtu akiruka fence or fighting in public , traffic offence detection, crop disease detection, medical image analysis, au using geospatial images I can try and predict whether farmers will have a bumper harvest or not, I can detect all swimming pools or tennis courts in Masaki, classify ocean waste, classify marine life based on images or videos n.k

Ina pesa na mara nyingi u don't need to write code from scratch, unatumia code ambayo researchers washaunda na kuicustomise kidogo tu ....hii process yote inaitwa transfer learning ...ukishakuwa mzoefu inakuwa kazi repetitive na rahisi sana unakula zako $300-$2000 from one project hadi it feels like robbery without violence

Sasa ukisha unda model mfano hiyo crime detection model u need to operationalise it ili iweze kutumika na mara nyingi huwa we do so as a web app kwa hivyo hapa mambo ya website development yanaingia hapa.

Ndio usome hii kuna many free resources.
1. Datacamp usually gives many scholarships
2. Cousera has financial aid Google how to apply for it. Ukiwa huko tafuta course zifuatazo na uzifanye kwenye huu mpangilio vile nimeziandika
  • IBM data science
  • machine learning specialisation
  • deep learning specialisation
  • Natural language processing
  • Machine learning engineering for production (MLOps) - this deals with deploying your models ili zikuwa accessible on the Internet ama devices
  • GANs

Baada ya hii fanya projects kadhaa kuna YouTube kama za Krish Naik , Murtazas Workshop utaona haya yote

Na pia usisahu Kupractise for free on kaggle

Kama vile umeona inahitaji effort sana lakini this is to be expected kwa sababu hii ni kitu inaweza kuchange your life in a few yrs u will probably never need to work again

Haya vitu zingine kama Data Engineering, Google hii na kuna free resources hapo coursera tu

Kuna Cyber Security Google hii tu tena cousera utafaidika.

Ukishaamua ni gani niko open to further questions

Isingekuwa sitaki kublow up my cover humu, I would have mentored anyone interested for free.

Mara nyingi nilikuwa na Nigerians na Kenyans kwa timu yangu mtanzania nishai ona mara moja tu.

Hata hivyo, ninakutakia kila la heri in this journey of self discovery.

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu hilo swala la articles au blogging, naomba uniruhusu nisikujibu kwa sababu maoni yangu hayatokani na practical experience. Hata hivyo, naomba uende ukaangalia impact halisi ya chatgpt kwenye hiyo sekta ...Will it make you more productive or will it take away your job? Huku Kenya naona vijana wameanza kulilia lakini pia wengi wako kimya kamya pengine kuashiria si kubaya vile kwa hivyo sina picha halisi ya jinsi mambo yako.

Kwa hivyo, kazi kwako

Ikiwezekana naomba mtu yeyote kwenye position hii uzingatie hizo high income skills ambazo nilieleza, ufaidika sana

Ahsante sana. Mimi niliwiwa kuandika na kuuza articles pekee online. Pia kuwaandikia watu articles na kulipwa. Only that. Pia ukalimani wa lugha ya kiingereza online.
 
Kuhusu hilo swala la articles au blogging, naomba uniruhusu nisikujibu kwa sababu maoni yangu hayatokani na practical experience. Hata hivyo, naomba uende ukaangalia impact halisi ya chatgpt kwenye hiyo sekta ...Will it make you more productive or will it take away your job? Huku Kenya naona vijana wameanza kulilia lakini pia wengi wako kimya kamya pengine kuashiria si kubaya vile kwa hivyo sina picha halisi ya jinsi mambo yako.

Kwa hivyo, kazi kwako

Ikiwezekana naomba mtu yeyote kwenye position hii uzingatie hizo high income skills ambazo nilieleza, ufaidika sana

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Ahsante sana
 
Nilishaeleza hili ktk nyuzi nyingi za watu kama ninyi huko,

Nenda google&youtube kasearch tatizo wabongo ni wavivu wa kufuatilia mambo wanapenda kamserereko hawataki kujituma.

Kiuhalisia Mitandao inalipa haswa utakapo kubari kuwekeza muda wako, akili yako na hata nguvu na pesa zako huko, hutotoka mtupu, cha msingi kubali kujifunza kila siku bila kukata tamaa.

Huko kuna online sites surveys, Software testing platforms, nyingi sana za kukuingizia pesa , ushindwe wew tu, la msingi kubari kupoteza muda wako na akili yako kujifunza.

ONYO: Kazi za mitandaoni hazilipi kwa muda mfupi kama mfikilivyo, bali kuna muda wa kujifunza, muda wa kujaribu na kufanyia kazi yale uliyojifunza na muda sahihi wa kujiingiza huko hapa ndipo unapoanza kufaidi matunda ya ujuzi wako kulingana na ulivyojifunza.

Haya mambo ni nyeti sana huwa hatuyaongelei hadharani sababu za wabongo kuharibiana...

For your own risk ukipendezwa na lolote nitafte DM japo huwa sitoi elimu bure hata waliowai kunifuata INBOX wanajua, mkono mtupu haulambwi, huna pesa hupati madini.
 
Natamani kuijua zaid hii bznes.Kama nitaielewa vzur na kukiwa na faida nzuri ili niifanye kabsa.Kama hutojalinicheki

0622 228 904.WhatsApp/Call
Jiandae kisaikolojia kuhusu forex, but wabongo eleweni KAZI za online sio forex pekee jamani kuna mengi nje ya hiyo kitu, kuna surveying sitez za kutoa majibu ya research mbalimbali za kiafya, kiuchumi, pia kuna siteza zinazohusika na Software testing nyingi sana la msingi , someni sana wajameni
 
Nilishaeleza hili ktk nyuzi nyingi za watu kama ninyi huko,

Nenda google&youtube kasearch tatizo wabongo ni wavivu wa kufuatilia mambo wanapenda kamserereko hawataki kujituma.

Kiuhalisia Mitandao inalipa haswa utakapo kubari kuwekeza muda wako, akili yako na hata nguvu na pesa zako huko, hutotoka mtupu, cha msingi kubali kujifunza kila siku bila kukata tamaa.

Huko kuna online sites surveys, Software testing platforms, nyingi sana za kukuingizia pesa , ushindwe wew tu, la msingi kubari kupoteza muda wako na akili yako kujifunza.

ONYO: Kazi za mitandaoni hazilipi kwa muda mfupi kama mfikilivyo, bali kuna muda wa kujifunza, muda wa kujaribu na kufanyia kazi yale uliyojifunza na muda sahihi wa kujiingiza huko hapa ndipo unapoanza kufaidi matunda ya ujuzi wako kulingana na ulivyojifunza.

Haya mambo ni nyeti sana huwa hatuyaongelei hadharani sababu za wabongo kuharibiana...

For your own risk ukipendezwa na lolote nitafte DM japo huwa sitoi elimu bure hata waliowai kunifuata INBOX wanajua, mkono mtupu haulambwi, huna pesa hupati madini.
sawa mkuu tunakuja
 
Back
Top Bottom