Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

kat

katika wote wanao ongelea forex wewe n mmoja wa watu uliyetoa point nzito na ya maana,...kama una zijua mpaka profirms,.bila shaka wewe n trader mwenzangu....na mimi nipo huko pia, nawachora tu watoto wanavyobishana kuhusu forex ni utapeli
Wewe umepata mafanikio gani tangu umeanza forex? Una mafanikio ya zaidi ya 5M?
 
kwako wewe umeona 5M ni hela?..na ndo mafanikio....kweli humu sio mwa kushusha hoja tena maana mmejaa watoto......sidhani hata kama unajua maana ya forex
 
QZ asset management.

Sifa za QZ asset management hazifanani na kampuni yoyote uliyowahi sikia au kuwekeza;

#Qz INA uzoefu wa miaka zaidi ya 10.

#Qz ni regulated na AMAC China.

#Qz ni audited kila miezi 6 na KPMG.

#Qz liquidity provider ni bank tano kubwa ikiwemo JPMorganChase na Barclays.

#Qz pia ni regulated na SEC ya America.

QZ usalama wa mtaji wako ni100%.

Wekeza QZ asset management.
 
Nmejiunga na Upwork juzi tu, kuna mtu akanipa kazi ya kuziconvert picha kwenda kwenye pdf. Kila picha ni $25, lkn bado siamini kama atanilipa maana nmechat nae nje ya Upwork, nmetumia telegram.
Unaibiwa mchana kweupe na soon ukisema umemaliza kazi atakwambia utume ela ya fee ili pesa yako iwe processed hapo utaambiwa labda dollar 100 then wewe undai dollar 1000 utaona utume na ndio goodbye.
Jitahidi kushirikisha ubongo wako siku zote. Wewe unaweza kumlipa mtu 50000 kwa kuconvert a pic into pdf?
 
Ok, nmekupata. Ndo maana hata no yake ya telegram kaificha na kule Upwork kafuta msg. Ss ntajuaje kama kazi ni ya uhakika
 
Nmejiunga na Upwork juzi tu, kuna mtu akanipa kazi ya kuziconvert picha kwenda kwenye pdf. Kila picha ni $25, lkn bado siamini kama atanilipa maana nmechat nae nje ya Upwork, nmetumia telegram.
Hilo ni kosa, Upwork haitahusika kama utachat na mtu nje ya platform Yao, lazima uchat naye ndani ya platform Yao.
 
Bongo sijui mnafanyaje mambo yenu sana lakini Kenya ni hivi.
1. Step one ...learn a high-income skill...kama Artificial intelligence na ndani yake Natural Language Processing na Computer Vision....also learn how to deploy your models ...alafu freelance na hii upwork...ukifwata taratibu tegemea $3500-5000 kwa mwezi....ukiongeza deploying your models as web applications kwa hivyo Full Stack AI Development...tegemea $8000-$15,000

High income skills zingine ni kama Data Engineering lakini hapo sijui sana

2. Online writing....Kenya hii imevuma sana kuna whole Suburbs zenye equivalent ya Sinza hivi ambapo vijana wenye kufanya hizi kazi Huishi and they literally hold the economy in those suburbs....wako na accounts and median income ni kama $1500-2500 hivi

3. Learn other in demand skills kama video editing yaani itategema tu background yako and the sacrifices u are willing to make.

4. The effort it takes to learn forex and perfect it ni ngumu sana to find a profitable trading strategy but unaweza soma writers kama Kevin Davey nafikiri....its a highly secretive world na mimi hiyo effort heri uipeleke into kitu kama Artificial Intelligence hivi kwa sababu its more stable ,si volatile ....if u insist unaweza learn vitu kama Tradestation na Meta Trader then start working by automating trading strategies for others as u learn the ropes....use those skills kutest strategy zako pia but ndio upate si rahisi yaani I highly discourage this , nafikiri unanielewa

Huku Kenya tech bros ndio kusema sasa hivi nafikiri pia wewe unaweza faidika hapo.

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
I am new in blogging! I have a pc, how can i start blogging and earn money online?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sijui sana hapo

Huwezi taka kuingia tech? Hapo ndio nilipata nyota yangu back in the day,nikipata kijana yeyote huwa ninawa-encourage sana kuingia hiyo sekta kwa sababu ni high income and u earn in dollars...u don't need networks/connections.... jihami tu na the right skills na discipline ya kusoma...it's democratised na karibu kila kitu ni free, even the premium resources kwa hiyo hautatumia pesa yeyote kupata knowledge

Tech? Ni website? Naanzaje kuingia? Yaani mkuu mimi ni layman kabisa na sijui nianzie wapi? Sijui nianze na kuandika articles au la!

Back
Top Bottom