Natoa huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania

Dec 2, 2023
19
28
Huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania ipo hapa.

Tunatuma mizigo kwa njia ya ndege,bus na malori.

Huduma zetu ni nafuuu. Kabisa na uhakina usalama mkubwa

Ofisi zetu zipo kariakoo na shekilango urafiki.

NB: Kampuni imesajiliwa kutuma mizigo mikoa yote tanzania
 
Mkuu nataka kusafirisha mbuzi 10 toka Shyinga mpka Njombe Unaweza kuwa na connection.
 
Huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania ipo hapa.

Tunatuma mizigo kwa njia ya ndege,bus na malori.

Huduma zetu ni nafuuu. Kabisa na uhakina usalama mkubwa

Ofisi zetu zipo kariakoo na shekilango urafiki.

NB: Kampuni imesajiliwa kutuma mizigo mikoa yote tanzania
Kampuni Yako inaitwaje? Mawasiliano yenu Yako wapi, au wakufate PM?
 
Mkuu unatoa taarifa au TANGAZO, hakuna namba wala address kamili.
 
Ofisi yako inaitwaje
Kampuni ya inaitwaje
Mnatumia Usafiri gani
Website yako iko wapi
 
Fursa kwa wafanyabiashara kusafirisha mizigo yako kutoka dsm kwenda mikoani.

Sapphire cargo transportation kampuni iliyosajiliwa kusafirisha mizigo mikubwa na midogo mfano, simu,
saa,
nguo,
kava za simu,
vitanda na Madawa

Gharama zetu ni nafuu na utapokea mizigo yako kwa wakati,kubwa kulko ni mizigo yetu tumeikatia bima ikitokea upotevu au uharibu utalipwa ndani ya siku 3 tuuu.

Wasiliana nasi kwa whatsapp au tupigie;;0749854998

Tembelea ofisi zetu zilizopo urafiki au kariakoo mtaa wa faru.
 
Back
Top Bottom