intermediate
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 232
- 166
Tatizo kubwa katika semina ya Leo alifundisha kitabu cha ufunuo 13 kuhusu mnyama, joka na viti vya enzi. Kwa ujumla na kwa sababu watu wengi hawajui. Alitafsiri neno out of context. Mie nimesoma theology. Mengi ya maneno yake yalikuwa siyo biblical centred. Ndiyo ule ujanjaujanja wa kutumia vifungu vya biblia kujineemesha. It is bible and bible alone(sola Scripture )
....tafadhari hebu rudia kusoma heading ya uzi.. Yani sijui tunaujuaji wa vipi..