Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 671
- 348
Nimeona dissertation yake ya Post Graduate Diploma Chuo cha Mipango!!! nina uhakina na hili ninaloliandika hapa!!!
Kweli mkuu, nimechanganyaMkuu kilichofikisha miaka 30 ni ndoa yake au huduma yake?
Naona kama umechanganya!
Aliamua tu kumshukuru mke wake kwa kumsaidia kwenye huduma kwa hiyo miaka 30 ya huduma yao ila sina uhakika kama amesema ni ndoa ndo ina miaka 30!
Unapochaganya kiswahili na kingereza unataka nikijibuje? mimi nataka kujuzwa maisha na historia ya mwl mwakasege kwa sababu nilizozitaja kuwa sijawahi kuona mtumishi wa Mungu anayejua kufundisha kama yeye.
kuweka maelezo nimeyaweka makusudi ili oune njisi nilivyopokea upako wa Mungu, na kwa sababu ile ameniepusha kuharibu siku.
Ndugu wanaJF husukieni na kichwa cha habari hapo juu. naomba mtu anayefahamu vizuri curriculum vitae ya mwalimu Christopher Mwakasege anijuze, nasema hivyo maana leo nimejitahidi kuhudhuria semina yake pale viwanja vya jagwani vinavyojaa mafuruko wakati wa masika, kwa kweli sijawahi kukutana na mtumishi wa Mungu anajejua kuhubiri na kufundisha kama yeye.
Lakini pia namshukuru MUNGU Ameniepusha kuniharibia siku yangu kwa sababu ya washabiki wezangu wa yanga pale makao makuu. kosa nimechomekea shati langu jekundu nikitoka kwenye semina nikierekea nilpofikia kariakoo kwenye hoteli (kwa sababu za kibashara sitaitaja nilipofika wanayanga nikawakuta wamekusanyika nikaona nipite nisikilize matokeo na uchambuzi, niliposimama tu wakanitaka nipotee yale mazingira nikakataa ndio walipotaka wanipinge. nikiwa namsubiri atakaye aza kunipinga huku wakinitusi, mara gari ya police ikiwa kwenye patrol wakanitaka niondoke tu. namshukuru sana Mungu maana leo washabiki wezengu wa yanga wagenijua mimi ndiye mchunga ng'ombe
Hii thread ni kuhusu mwakasege au heka heka ulizokumbana nazo siku ya leo mfugaji.
Back to topic na mimi ningependa kujua kwa nini wanamwita mwalimu...
kuna kitu sielewi kwa mwakasege je yeye anasali wapi jpili kkkt au makanisa ya pentekoste na je najua ana elimu ya uchumi je hii ya neno la Mungu anayo hata certificate?maana hata kama una kipaje elimu ina umuhimu kupunguza makosa flaniflani ktk kutafsiri neno la Mungu.
Ndugu wanaJF husukieni na kichwa cha habari hapo juu. Naomba mtu anayefahamu vizuri curriculum vitae ya mwalimu Christopher Mwakasege anijuze, nasema hivyo maana leo nimejitahidi kuhudhuria semina yake pale viwanja vya jangwani vinavyojaa mafuriko wakati wa masika, kwa kweli sijawahi kukutana na mtumishi wa Mungu anayejua kuhubiri na kufundisha kama yeye.
Lakini pia namshukuru MUNGU Ameniepusha kuniharibia siku yangu kwa sababu ya washabiki wenzangu wa yanga pale makao makuu. Kosa nimechomekea shati langu jekundu nikitoka kwenye semina nikielekea Kariakoo kwenye hoteli (kwa sababu za kibashara sitaitaja, nilipofika wanayanga nikawakuta wamekusanyika nikaona nipite nisikilize matokeo na uchambuzi, niliposimama tu wakanitaka nipotee yale mazingira nikakataa ndio walipotaka wanipige. Nikiwa namsubiri atakayeaza kunipiga huku wakinitusi, mara gari ya police ikiwa kwenye patrol wakanitaka niondoke tu. Namshukuru sana Mungu maana leo washabiki wezengu wa yanga wagenijua mimi ndiye mchunga ng'ombe
Cv yake ina msaada gani kwa maisha yako ya kiroho,shika neno tenda neno,full stop,
Thanks,
Naona hujajibu swali na naomba tu nikupishe... bado sinaona sababu ya kuomba CV, unaweza ku-google yeye ni public figure utapata unachotaka
hayo makolokocho mengine ya mtaa, mara polisi etc. sijui yaliingiaje
Enjoy the evening
sababu hazipo kwenye CV, that is my pointMkuu nime-goole habari zake zikupata cv yake kama inavyotakiwa, mimi nataka nifahamishwe kwa sababu nyingi za msingi nyingi ambazo nitazifanyia kazi hata kwa watoto wangu kama mimi nikishidwa.!
Halafu dogo uache kujishaua kuwa hujasoma umeisha darasa la saba na kwamba unaishi shinyanga una elimu ya chuo na unaishi dar ukiendelea kudanganyana siku nyingine nakuumbua.
sababu hazipo kwenye CV, that is my point
CV ya mtu haiendani na unayotaka kujua