Ni nani atakayerithi nafasi ya Mwalimu Christopher Mwakasege?

Niambie Tu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2022
Posts
280
Reaction score
727
Mwalimu Christopher Mwakasege ni mtumishi wa Mungu wa muda mrefu alijitolea kufundisha neno la Mungu kwa mapana zaidi.

Amejizoelea umaarufu kwa kufundisha neno la Mungu bila kuingiza siasa, kulisema au kusema watumishi wengine na amekuwa akifundisha neno pekee la Mungu.

Je, ni nani atakaye kuja kumrithi mwalimu maana huduma yake itakoma ni suala la muda kutokana na umri.

Wakina Kapola, Mwamposa, Lusekelo wote naona wamekaa kimchongo
 
Mungu anajua aliyemuandaa baada ya Christopher. Pia bado ana nguvu kubwa sana ya kuendelea kufundisha. Na pia lolote laweza kutokea wkt wowote kwa kanisa kunyakuliwa
 
Mwalimu Christopher Mwakasege ni mtumishi wa Mungu wa muda mrefu alijitolea kufundisha neno la Mungu kwa mapana zaidi.

Amejizoelea umaarufu kwa kufundisha neno la Mungu bila kuingiza siasa, kulisema au kusema watumishi wengine na amekuwa akifundisha neno pekee la Mungu.

Je, ni nani atakaye kuja kumrithi mwalimu maana huduma yake itakoma ni suala la muda kutokana na umri.

Wakina Kapola, Mwamposa, Lusekelo wote naona wamekaa kimchongo
Mlm Mgisa Mtebe.

Mfuatilie
 
Alikuwa bize sana na waisraeli kuliko watanganyika wenzake wanaoonekana
 
Ni mwalimu mzuri, anakufundisha biblia na ukristu kupitia vifungu na tafsiri sake, na historia nyuma yake.
Lakini pia ana intellect kwa hiyo hayakuzi wala kuyadogosha mambo ili kupata wafuasi.

Nampa respect 🙏🏽🙏🏽

Kwenye succession ni ngumu, sasa hivi kila mtu anataka afanye miujiza ili apate watu. Sio tena kuokoa wala kukomboa, ni biashara ya miujiza, matumaini na kuteketeza adui.
 
Mwalimu Christopher Mwakasege ni mtumishi wa Mungu wa muda mrefu alijitolea kufundisha neno la Mungu kwa mapana zaidi.

Amejizoelea umaarufu kwa kufundisha neno la Mungu bila kuingiza siasa, kulisema au kusema watumishi wengine na amekuwa akifundisha neno pekee la Mungu.

Je, ni nani atakaye kuja kumrithi mwalimu maana huduma yake itakoma ni suala la muda kutokana na umri.

Wakina Kapola, Mwamposa, Lusekelo wote naona wamekaa kimchongo
Mungu atasimamisha mwingine , mambo kama haya ni kuomba Mungu ajifunue kwa watu wake .
 
Back
Top Bottom