Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,383
Naona pia kuna tatizo hata kwako pia..unaamini ktk theology kuliko hata roho mtakatifu....kwamba ili mtu uone anafaa ni lazima atafasiri kama ambavyo wewe umefundishwa kutafasiri ktk vyuo vya theolojia...totally wrong..
Kuna mambo roho anakuongoza tu sema na watu juu ya hili na waambie hivi.
Taafsiri ya ufunuo 13 iko wazi sana na imetafsiriwa na Biblia yenyewe wala hakuna blabla.Jitahidi kusoma mwenyewe maandiko ukimuomba Roho Mtakatifu ili ujiridhishe kuwa kinachosemwa na mhubiri ndicho kilichoandikwa kwenye Biblia.