Naomba kujua Sabaya anashikiliwa katika mahabusu gani?

Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?

Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.

Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?

Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Makao makuu takukuru wanazo mahabusu pia huwaweka salendar pale wengine asubuhi wanakufuata.....jioni unarudi
 
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?

Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.

Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?

Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Naona kama kuna kusigana kidogo ndani ya viongozi wa chama kile. Yuko mhanga wa Sabaya ambaye anaona chama chke hakitashiriki uchaguzi 2025 kulingana na nguvu ya mfumo inayokwamisha utendaji huru wa tume ya uchaguzi (hoja ya nguvu), na yule bwana mwenye ushawishi na mtia nia na aliyejiandaa kugombea 2025!!

Mhanga anapenda kuona mtesi wake akisulubiwa kutokana na uovu wake, mtia nia anahoji kwa nini mtesi wa mhanga ashikiliwe kinyume na taratibu za sheria.
 
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?

Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.

Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?

Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Nilidhani utaulizia atazikwa Kaburi gani.
 
Naanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.
Hii ni baada ya wakubwa kuona kuna kuaibika mbele ya safari kama Sabaya atakomaa kuwa alikuwa anatumwa na mwendazake na viongozi wengine wa chama ambao bado wako ndani ya utawala huu.
Nani atakubali hayo yasemwe hadharani?
 
Alete ushahidi kuhalalisha ujambazi wake.Mimi angenipora angezitema
 
Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahijiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani ?

Pili,napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu.

Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya habari vinavyoripoti habari za Sabaya zaidi ya gazeti
la Rai Mwema?

Nina mashaka sana na mwenendo mzima wa hiki tunachoambiwa au kukisoma kuhusu Bwana Sabaya.
Kutumwa na mtu ukafanye ujambazi sio tiketi ya kukuokoa au kukulinda dhidi ya uhalifu
 
Sabaya alitenda mabaya ya kishetani akizani mtukufu magufuli angekuwa Rais wa milele kama China lakini sasa ameumbuka anajuuta kutekeleza udikiteta wa marehemu magufuli
Lema alimuonya akabaki kumwambia lema we unatumia nini yeye akifanya uporaji.
Yule Bwana alituharibia Sana nchi.Akuangalia cv ya mtu bali kabila na juhudi zako binafsi za kuwashughulikia wapinzani.
Sabaya bashite waliamini ndumba zina nguvu kuliko Mungu.
 
Naanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.
Hii ni baada ya wakubwa kuona kuna kuaibika mbele ya safari kama Sabaya atakomaa kuwa alikuwa anatumwa na mwendazake na viongozi wengine wa chama ambao bado wako ndani ya utawala huu.
Nani atakubali hayo yasemwe hadharani?
Alikuwa anamtuma abake wanawake?
 
Naanza kuziona dalili za kuja kuambiwa Sabaya "amejinyonga" akiwa ndani ya cell.
Hii ni baada ya wakubwa kuona kuna kuaibika mbele ya safari kama Sabaya atakomaa kuwa alikuwa anatumwa na mwendazake na viongozi wengine wa chama ambao bado wako ndani ya utawala huu.
Nani atakubali hayo yasemwe hadharani?
Yote haya yanawezekana na hii issue inaweza kwisha kimyakimya.
 
Back
Top Bottom