Rabbi asante
Member
- Sep 11, 2020
- 22
- 21
Wana JF,
Naomba kujua kutoka lwa mtu anayejua, km kuna usafiri wa bus wa moja kwa moja kutoka Dodoma mpk Bagamoyo au namna gani ya kufika Bagamoyo kwa kutokea Dodoma.
Aidha nauli ni sh ngapi, gari linatoka saa ng? Na kufika Bagamoyo saa ngapi? Lakini pia, ratiba za gari sikoje? Ni wa kila siku, na pengine it is through out the day.
Natanguliza shukurani nyingi sana
Asante.