officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 369
- 1,178
Ndugu zanguni habari za wakati na muda kama huu. Matumaini unausoma ujumbe huu ukiwa mzima wa afya na kama kuna changamoto basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
Nia na madhumuni ya jumbe hii ni kupata msaada kidogo wa kimawazo kuhusu Africa kusini na jinsi ya kwenda
Je kuna uhitaji wa visa?
Je kwenda na Bus inagaharimu siku ngapi njiani? Vipi mawasiliano hapo katikati mpaka kufika? Je kurudi na mzigo kwa Bus ushuru unakua vipi na yapi makadirio? Pia kwa mwenye uzoefu naomba kujua Gharama za mizunguko ya treni kutoka jiji moja kwenda jingine.
Naomba msinichoke nitakua na maswali mengi kiasi. Lengo ni kupata ujuzi zaidi…….
Asanteni sana na natanguliza shukrani.