Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

Rabbi asante

Member
Sep 11, 2020
22
21
Wana JF,

Naomba kujua kutoka lwa mtu anayejua, km kuna usafiri wa bus wa moja kwa moja kutoka Dodoma mpk Bagamoyo au namna gani ya kufika Bagamoyo kwa kutokea Dodoma.

Aidha nauli ni sh ngapi, gari linatoka saa ng? Na kufika Bagamoyo saa ngapi? Lakini pia, ratiba za gari sikoje? Ni wa kila siku, na pengine it is through out the day.

Natanguliza shukurani nyingi sana

Asante.
 
Toka lini waswahili wakasafiri? Bagamiyo hakuna basi la kwenda mahali popote, mabasi yote yanapita tuu
Sawa,,Mimi ni mgeni ,,nisaidie ,,Basi,,,,either,,,nikitoka Dodoma ,,nishukie wapi?,,natokea mkoani nitashida hapo ,,Dodoma then Ndio niunge kwenda huko,,,,,
 
Hakuna basi la moja kwa moja toka Dodoma mpaka Bagamoyo....Panda basi shukia Ubungo(DSM) uliza kituo kinaitwa Mawasiliano, ingia mule ndani ulizia daladala zinazokwenda Tegeta, usishuke kituo chochote mpaka mwisho(Tegeta) nauli ni 800 kama sijakosea, then mule ndani Tegeta utakuta Coaster za Bagamoyo nyingi sana, jichagulie ingia, nauli ni Tsh.1800/=
 
🙏
 
Unaweza shukia chalinze/Mlandizi kisha ukachukua usafiri wa kwenda bwagamoyo.
 
Asanteni sana....kuja na bus la mpk Dar ,,then kuchukua Daradara to Bagamoyo,,,na Hilo la moja kwa moja ,,,,ni ipi ?,,njia ya kuwahi zaidi,,,,natanguliza shukurani.
 
Asanteni sana....kuja na bus la mpk Dar ,,then kuchukua Daradara to Bagamoyo,,,na Hilo la moja kwa moja ,,,,ni ipi ?,,njia ya kuwahi zaidi,,,,natanguliza shukurani.
Mimi ni mkazi wa bagamoyo .

Gari ya Dom Bagamoyo ipo (ila usipande, utajutaaaaa)

Panda gari la DAR shukia MLANDIZI (ila panda la mapema)

Ukifika mlandizi pale unakula daladala mpaka bagamoyo ni 2000/=

Ukipanda la moja kwa moja utapambana na foleni , ukishuka mbezi tena utafute gari mpaka mbezi massana, tena utapanda la kwenda tegeta nyuki, hapi ndio unapata la bagamoyo. (Mzunguko mrefu)
Karibu sana huku kwetu
 
Ukitokea Dodoma shukia chalinze,pale chalinze ulizia coaster zinazoenda bagamoyo watakuonesha.
Nauli kutoka pale chalinze hadi bagamoyo ni kama elfu 5 hivi,zinapitia njia ya msata.
Sawa,,Mimi ni mgeni ,,nisaidie ,,Basi,,,,either,,,nikitoka Dodoma ,,nishukie wapi?,,natokea mkoani nitashida hapo ,,Dodoma then Ndio niunge kwenda huko,,,,,
 
Panda Dom mpaka Moro shuka msamvu stend,
Pale zipo coaster nyingi zinaenda Bagamoyo moja kwa moja zinapitia Chalinze.(Hakuna Foreni)
Panda Dom _Dar shuka chalinze Subiri gari za Chalinze -Bagamoyo.

Ukipanda ili ushukie dar,,Utakwama kwa sabb ya foreni.
Lkn Bagamoyo Utafika.
 
Mkuu ipo gari ya bagamoyo -dodoma kila siku kama sikosei nauli yake ni 17000 kama siyo 18000 siyo basi kubwa.inapita chalinze kama haijajaza lakini huwa inakatisha msoga...kama huna haraka ni nzuri maana dodoma inafika kwenye sa kumi...uzuri ni kwamba gari ni ya uhakika my siblings wametumia several times kwenda home
 
Back
Top Bottom