Ripoti: Kuna tatizo la kukatika kwa mawasiliano ya Intaneti kwenye baadhi ya Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
IMG_20240315_064730_415.jpg

Mitandao ya Netblocks na CloudflareRadar inayohusika na ufuatiliaji wa Huduma za Intaneti na Usalama Mtandaoni imesema baadhi ya Nchi Barani Afrika zimepatwa na tatizo la kukatika kwa Huduma za Intaneti, sababu ikidaiwa ni kukatika kwa nyaya katika Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Baadhi ya Nchi zilizoripoti kupata shida kwenye mawasiliano ni Tanzania, #IvoryCoast ambayo imeripoti kushuka kwa ubora kwa Intaneti hadi 4%, Benin 14% na Ghana kwa 25% huku nchi nyingine zilizopata shida zikiwa ni Afrika Kusini, Nigeria, Liberia, na Burkina Faso

Nchini Tanzania, Mtandao wa Vodacom umekiri kutokea kwa tatizo kwenye huduma za intaneti huku wakisema huduma za M-PESA, Kupiga na Kupokea Simu zinapatikana. Pia, Serikali za Nigeria na Liberia zimesema zimebaini uwepo wa tatizo la Intaneti

Vipi Mdau, umebaini au kupata changamoto za Mawasiliano ya Simu au Intaneti wiki hii?

========

Major internet disruption has been reported in various countries across Africa.

Outages have been reported in countries including South Africa, Nigeria, Ivory Coast, Liberia, Ghana and Burkina Faso.

The cause of the cable failures is not immediately clear.

"There seems to be a pattern in the timing of the disruptions, impacting from the north to the south of Africa," said Cloudflare Radar, which provides information on internet connections.

Internet connectivity in the Ivory Coast was down to around just 4% on Thursday morning, according to Netblocks, which tracks cybersecurity and internet connectivity.

Liberia at one point dropped to 17% while Benin was at 14% and Ghana 25%, Netblocks said.

In South Africa, Vodacom said that "customers are currently experiencing intermittent connectivity issues due to multiple undersea cable failures".

A fault has also been reported on the MainOne cable system which serves Nigeria's commercial hub, Lagos.

The Liberian government said internet disruption had been reported from Thursday morning.

Citizens are unable to access the basic internet as well as social media across the vast majority of the country. International bank transfers are also reported to be affected while there are limited international voice calls.

"It seems like 50% of my life is gone today," Benjamin Garkpah told the BBC from the Liberian capital, Monrovia.

Fatumata Barry said her business had stalled because she can't receive payments through mobile money.

The Liberia Telecommunications Authority said it was caused by an incident involving the Africa Coast to Europe (ACE) submarine communications cable in Ivory Coast.

In Ghana, the National Communications Authority (NCA) reported that multiple undersea cable disruptions were responsible for the outage.

Cloudflare posted on social media that major internet disruptions were ongoing in The Gambia, Guinea, Liberia, Ivory Coast, Ghana, Benin and Niger.

Source: BBC
 
Yawezekana wamekata kweli , maana wiki mbili zilizopita wamekata hapo red sea nyaya za internet zinazolink Asia na Europe
 
Airtel nina wiki sasa naweka bundle silitumii ni zaidi ta kuwa slow... Mpaka lina expire
 
nakiri kusema vita ya kijinga yaani mhuni netanyau ndio amesababisha haya angekua anapambana na hamas peke yao bila kuua kina mama na watoto houthi wasingefanya wanayofanya sasa naamini ikitokea vita ya dunia kama wale wangese nato wanavyotaka aisee internet itapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom