Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,113
- 110,869
Kwani kutaja jina la mtu kwa kukisia ni Ku violet privacy ya mtu...? Mtoa post katufikisha mahali inabidi tuhitaji kumjua muhusika kulingana na kisa chenyewe
Na mleta ubuyu kasisitiza kwamba huyo mdada ni legendary haswa jukwaa hili la MMU