Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
- Thread starter
- #181
Hapo kwenye red, umemaliza kila kitu dada'ake, thumb up!! hiyo ndo habari ya mujini kwa watu makini. Ila wale wanaokuja mujini kwa lift ya msafara wa mbio za mwenge, hawalijuwi hilo na huishia kuvurunda tu.
Hebu mkuu nifundishe mafumbo maraisi waelewe mbona wewe umeelewa