kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,380
Sometimes its better ukae kimya tu hata kama una nyongo kali.Mie naona si ustaarabu kwa hichi kinachoendelea hapa maana wakati mnatongozana na mengineyo haukutwambia why hili utuambie?Kuwa mstaarabu jamani mie naona haufanyi fair kabisaa
nini tena? ndiyo habari ya mwaka huu nini?