Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Hahahaaha..kaazi kweli kweli.
Mtumie PM mwambie na wewe ulivyoanza nae maongezi ulikuwa unampima, vipimo vimekamilika huna uhitaji nae tena.
nashangaa badala ya kupima maradhi wanapimana nin sijui hii tuite! ningekuwa superbrand ningeuchuna kimya maana huyo dasa bado hajielewi ana mapenz ya kipraimaree.