MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,071
Hahahaa...I like it u know, nakuja sasa hiviii...andaa maji ya kunywea ubuyuu
Hahahaaa mkuu amkaushie tu kwa kweli looo asimtaje bana
dada manka huyo shankupe la Chamazi limechemka hasaa. nani aliemdanganya kuwa wanawake wenzie 'wanapima' hivyo? Manka ukiisoma vizuri thread yenyewe, iko self-explanatory kwamba jamaa ni mpole, staarabu na alimushow respect sana huyo muuza uduvi & ming'oko wa Chamazi.
Wamechat for a long, then jamaa akawa blocked in whatsapp, but stil jamaa hakuchoka na akaendelea kuonesha nia yake kwa huyo mdada. Jike kafika Ubungo, jamaa kaonesha kujali kwa kuchoma wese na muda wake kwenda kumpokea huyo gume-gume all the way from UBUNGO to CHAMAZI. But mwisho wa picha jamaa akaambulia eti 'kupimwa' kwa style ya kiwendawazimu kama hivyo. That's a serious bull.shit!!
Jamani in the given circumstances, ebu tuongee reality tu: je kuna mwanamke wa maana apo??!! au ni mwanamke mnywa gongo na mvutia bange chooni?
-Kaveli-
Pole sana Superbrand kama nilivyokueleza toka mwanzo weka hasira pembeni maisha bado yanaendelea,narudia tena nyimbo zangu na zingatia Serebuka Serebuka unaweza penda tena.....na tulia wanawake warembo na wenye kujitambua wapo ila unatakiwa uwe na macho embu imba huu......nipe macho nione macho eeee nipe macho nione sawasawa.
Kung'uta mavumbi maisha bado yanaendelea na yanapaswa kuendelea....kila la heri.
I'm psychic detective...lolest, tunawajua machangudoa wote wa Jf bana! Is it hard to tell?!!
interesting.......kumbe mbagala chamazi pia kuna a sister du wa kuomba kushushwa kwenye gari njiani?
halafu akaenda kugombania daladala?
this is news to me.........
yaani wadada wa kibongo kwa kuiga movie za Hollywood hadi wanajiumiza
yaani unaelekea Chamazi eti umekairika ushushwe njiani?
mimi ngingemshusha fast na wala nisingmpigia tena....
huyo sister du wa mbagala keshakusoma weakness zako so anakutingisha tu hadi mwisho akwambie mwanao simtaki alelewe na mama yake......ignore her haraka
Ninavyokupendaga wewe ungekuwa ndo wewe ningeandamana aisee.
Kiukweli nimekuelewa sana na najaribu kwani zile ni nyimbo mimi yamenitokea kabisa napata wakati mgumu kupata relief nabaki nameza mate machungu kwani jana nimefika kwangu late night kwa fadhila za upepo
Nadhani nitajaribu bt it hurts na zaidi watu wanavyosema nimemtaja ndo naumia zaidi kwani hawaoni anachafua wadada wengi walio wasafi na after all sijamtaja bado na sitamtaja
Ila naumia sana tena sana sikuwa nategemea hayo bt yanatokea sana
Boss kazini amasema mapenzi ya kweli only hapen in move bt sijui
Acha izo Superbrand hajamtaja mtu,mwache auguze kidonda jamani!masai dada pita huku utahabarishe ulichomfanyia huyu kaka au anatudanganya tu.
Acha izo Superbrand hajamtaja mtu,mwache auguze kidonda jamani!
masai dada pita huku utahabarishe ulichomfanyia huyu kaka au anatudanganya tu.
kwani wewe una uhusiano gani na masai dada
Mama yeyoo Kumbe ww korofi sasa ndo nn kumringishia mwenzio fumba la samaki km paka siumpe tu hilo nofu Aaaah ndomanaa aiseeeh