Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Mkuu,kama ndiye ama kinyume chake,bado "privacy" yake hapa JF iheshimiwe.(Samahani lakini.Ni mtazamo wangu tu).

Kwani kutaja jina la mtu kwa kukisia ni Ku violet privacy ya mtu...? Mtoa post katufikisha mahali inabidi tuhitaji kumjua muhusika kulingana na kisa chenyewe
 
dada manka huyo shankupe la Chamazi limechemka hasaa. nani aliemdanganya kuwa wanawake wenzie 'wanapima' hivyo? Manka ukiisoma vizuri thread yenyewe, iko self-explanatory kwamba jamaa ni mpole, staarabu na alimushow respect sana huyo muuza uduvi & ming'oko wa Chamazi.

Wamechat for a long, then jamaa akawa blocked in whatsapp, but stil jamaa hakuchoka na akaendelea kuonesha nia yake kwa huyo mdada. Jike kafika Ubungo, jamaa kaonesha kujali kwa kuchoma wese na muda wake kwenda kumpokea huyo gume-gume all the way from UBUNGO to CHAMAZI. But mwisho wa picha jamaa akaambulia eti 'kupimwa' kwa style ya kiwendawazimu kama hivyo. That's a serious bull.shit!!

Jamani in the given circumstances, ebu tuongee reality tu: je kuna mwanamke wa maana apo??!! au ni mwanamke mnywa gongo na mvutia bange chooni?

-Kaveli-

Pia mkuu,
Sijui jana ilikuwaje tu maana hata safari yenyewe ilikuwa ya taabu sana na majanga ambayo niliyavumilia aliniambia anatari kufika saa kumi na mbili mi On time nikawa pale ubungo kumpigia akasema bado yupo karibu na kibaha

Ikabidi nimwambie ngoja nikale external nitarudi,baada ya kula tu nikarudi kufika mataa nikampigia akasema ameshuka tayari nikamwambia nipo mataa akasema anachelewa anataka kuchukua tax,nikamuambia nafika kuwa mvumilivu na nikafika baada ya dk 15 za foleni

Kwenda ndani nikamfuata na kumsaidia mabegi huku tukielekea kwenye gari baada ya kufika kwenye gari gari ikagoma kupiga starts nikabidi niende kumuita wa tax aje ani bust akasema sh 10,000 nikampotezea kuja karibu na gari nikamkuta mshikaji ana park gari nikamuomba akakubali akani busti tukatoka na muda huo panya road ndo walikuwa wanazingua

Tukapita barabar ya shekilango na kuzunguka kupitia barabar ya makaburini kutokea external mataa

Kufika kwenye reli tukakuta jam ya maana mara muda si mrefu treni inakuja nataka kuondoka gari ikazima tena nikawa nimevuka kidogo treni ikapita na kuwakuta wengine waliokuwa wamesongamana kwenye reli na kugonga gari dogo moja kwa juma japo mwenye gari alikimbia na gari yake

Nilishuka na kupata vijana wawili tukaanza kukomaa pale na baada ya dk kama 45 alipatikana mtu na kukibali kunibust tena kumbe betri lilikuwa down na niliwasha A/C kwani alisema ana hisi Joto

Na baadae kufanikiwa na wale madogo wakanitoa kama 15 ila walijitahidi kwa kweli.,na hatimae tuliendelea na safari akaniambia huwa hufanyii service nikamwambia nafanyia ila leo nashangaa may be hujaaga huko?akacheka tukaendelea na safari

Hadi sasa gari ipo vizuri na nipo nayo bado nikajua amemind kwa gari kuzima ila nikasema ni kawaida ya magari hata liwe umetoka nalo show rum leo
 
mwe......pole aisee......jaribu kukaa nae mbali kwa muda na fanya mambo yako.....kama anaona umuhimu wako basi atakutafuta na myamalize tofauti zenu.....
 
Kwani kutaja jina la mtu kwa kukisia ni Ku violet privacy ya mtu...? Mtoa post katufikisha mahali inabidi tuhitaji kumjua muhusika kulingana na kisa chenyewe

"No matter what, they are entitled to privacy, though".
 
naomba uni PM jina lake alafu tufunge mjadala ntampeleka kwenye Foundation tum train
 
Yaani!!! Tutasutwa mwenzangu lol!! Mara yangu ya kwanza kujishughulisha na maubuyu ya humu ndani huwa nayapita tu...ila ubuyu huu umekuwa mtam sana nimeshindwa kuutupa.

Hivi hapa kuna nini
 
Hata mimi nilidhani yupo smart sana

CC masai dada

Kwa hiyo ndo huyo uliye m CC? Maana inashangaza huwa sifuatilii sana mambo ya humu hasa binafsi ila hili limenivutia na kuniduwaza
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,kama ndiye ama kinyume chake,bado "privacy" yake hapa JF iheshimiwe.(Samahani lakini.Ni mtazamo wangu tu).

Mmmh mkuu ngoja aje mwenyewe akufumue fumue mingumi ndo utaeleza vizuri
 
Wote herufi 9 kama mtoa mada alivotaja?

Ila mkuu, spare them for their privacy sake, please. (No offence intended, though. Ushauri tu)

Teh Teh teh! ni speculation tu mjuba si unajua humu tumo vijishekh yahaya chipukizi!!
 
Kwa hiyo ndo huyo uliye m CC? Maana inashangaza huwa sifuatilii sana mambo ya humu hasa binafsi ila hili limenivutia na kuniduwaza

Mmmh mkuu kwani CC ndo maana yake?

Huyo siye bwana nimemwita aje atusaidie kutoa Hoja mezani
 
Back
Top Bottom