Naamini sio walimu wote walio na tabia hii.
Yaani!!! Tutasutwa mwenzangu lol!! Mara yangu ya kwanza kujishughulisha na maubuyu ya humu ndani huwa nayapita tu...ila ubuyu huu umekuwa mtam sana nimeshindwa kuutupa.
NDIO! KWANI UNANIDAI? Mi sitembei na vitoto humu vinavoendekeza KISS AND TELL! Havikawii kusema hukunyoa zivu kama Zarina! Hahahaaaaaaaa! Mi natoka na BABA ZAKO humu ndo level zangu. Sitaki swali lingine! Hamna anaenidai.lara 1 kwani na wewe una mahusiano uliyoyapata kutoka jf
Jamaa alijipangaje sasaa
NDIO! KWANI UNANIDAI? Mi sitembei na vitoto humu vinavoendekeza KISS AND TELL! Havikawii kusema hukunyoa zivu kama Zarina! Hahahaaaaaaaa! Mi natoka na BABA ZAKO humu ndo level zangu. Sitaki swali lingine! Hamna anaenidai.
Acha matusi kwa wazazi, baba yangu unamjua anafananaje??? hadi unaropokaropoka ovyoo, namna hyo
NDIO! KWANI UNANIDAI? Mi sitembei na vitoto humu vinavoendekeza KISS AND TELL! Havikawii kusema hukunyoa zivu kama Zarina! Hahahaaaaaaaa! Mi natoka na BABA ZAKO humu ndo level zangu. Sitaki swali lingine! Hamna anaenidai.
Bora utoke na mume wa mtu humy kimya kimya haaa haya mambo ya kutajana siyataki mie...
Inamaana ajipangaje au
Masai dada......!!!???
Kila kitu kina sababu yake.......
Na ukiona mtu kagoma kula kisamvu ujue basi walau anao dagaa kauzu..... Huwezi kuacha kile kidogo ulichopewa kama huna mbadala!
Ila kwa ufupi, hapo naona kama umepiga wrong number ndugu yangu Superbrand!!