Yani nimekasirika utafkir mi ndo Superbrand ! Nimekua mhanga wa wanawake pasua kichwa and so when I see a bitch traumatizing a bro...
afu unakuta limwanamke la hvo bdae linatoa toa mimacho 'oh I'm lukin for my MR Right'! Na utatoa hadi ufe u alrdy cursed yourself!
Huyo Lazima Atakuwa Misschagga Au tinnacute hawa mabinti wakorofi sana!
Ha ha ha ha ha ha Superbrand thibitisha
Mmmh ni pacha wako bhana
Kaandika sms eti nimeamua kumdhalilisha na kusema "Mark ma words ukifuata ushauri wa Jf you will ruin your life!! Sijui let me wait to be ruined by Jf advise
Huyo Lazima Atakuwa Misschagga Au tinnacute hawa mabinti wakorofi sana!
Hahahaaaaa umeonaee mkuu Kaveli mtu akileta utoto unatupa kwa dustbin. Ukishikwa shikamana.
Umesema linaanza na M linaishia na A,
Ebu jiongeze kidogo lina herufi ngapi?
Mkuu mwaga ugali kabisa!
Hahahaaaa najiuliza umemjuaje labda mhusika atupe jina ikiwezekana
Lina herufi 9