Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Haaa hebu kuja PM page zote izo sisomi..njoo.na samare kabisa

Hahahaa naogopa, nisije kukupa maubuyu huko halafu ukaja kunimwaga hadharani hapa...tumalizane hapa hapaa
 
Teh Teh teh! ni speculation tu mjuba si unajua humu tumo vijishekh yahaya chipukizi!!

Sawa mkuu nimekusikia. Yawezekana umeotea sawa hizo herufi 9.

By the way, wananajimu mtapiga pesa sana pesa mwaka huu wa uchaguzi .

Wanasiasa wengi wanawahitaji wanajimu kama ninyi kuwatabiria kama wanatwaa udiwani? ubunge?urais...?
 
Haya tumekuelewa, nilichojifunza tu "mwenzio akinyolewa, zako tia maji", bahati mbaya kwako kaka na labda huyo dada hakujua alitendalo, wengine wamezoea mapenzi ya kuendeshana kama magari mabovu au la uhusiano uliopita kwake ulikuwa wa aina hiyo aliyokuja nayo kwako.

Sameheaneni wote, hadi hapo ulipofikia japo amekuumiza na wewe umemuumiza kwa kufanya kila mtu ajue ni nani, lengo la kutufunza wengine si baya ila kufanya tujue nani si vizuri, hana amani tena kwa sasa.

Maisha yapo na yataendelea kuwepo, haikupangwa muwe pamoja, ila mmejifunza kitu katika hilo.
 
Ila kusema ukweli mleta mada ulichofanya sio fair...kabisaaa. Hata kama ulihitaji kushare na sisi basi usingemtaja jina....
Duh sipati picha jinsi anavyojisikia Saa hizi...not fair bwana...Kama vipi malizeni tofauti zenu....

Love z just a beautiful thing...
 
Pia mkuu,
Sijui jana ilikuwaje tu maana hata safari yenyewe ilikuwa ya taabu sana na majanga ambayo niliyavumilia aliniambia anatari kufika saa kumi na mbili mi On time nikawa pale ubungo kumpigia akasema bado yupo karibu na kibaha

Ikabidi nimwambie ngoja nikale external nitarudi,baada ya kula tu nikarudi kufika mataa nikampigia akasema ameshuka tayari nikamwambia nipo mataa akasema anachelewa anataka kuchukua tax,nikamuambia nafika kuwa mvumilivu na nikafika baada ya dk 15 za foleni

Kwenda ndani nikamfuata na kumsaidia mabegi huku tukielekea kwenye gari baada ya kufika kwenye gari gari ikagoma kupiga starts nikabidi niende kumuita wa tax aje ani bust akasema sh 10,000 nikampotezea kuja karibu na gari nikamkuta mshikaji ana park gari nikamuomba akakubali akani busti tukatoka na muda huo panya road ndo walikuwa wanazingua

Tukapita barabar ya shekilango na kuzunguka kupitia barabar ya makaburini kutokea external mataa

Kufika kwenye reli tukakuta jam ya maana mara muda si mrefu treni inakuja nataka kuondoka gari ikazima tena nikawa nimevuka kidogo treni ikapita na kuwakuta wengine waliokuwa wamesongamana kwenye reli na kugonga gari dogo moja kwa juma japo mwenye gari alikimbia na gari yake

Nilishuka na kupata vijana wawili tukaanza kukomaa pale na baada ya dk kama 45 alipatikana mtu na kukibali kunibust tena kumbe betri lilikuwa down na niliwasha A/C kwani alisema ana hisi Joto

Na baadae kufanikiwa na wale madogo wakanitoa kama 15 ila walijitahidi kwa kweli.,na hatimae tuliendelea na safari akaniambia huwa hufanyii service nikamwambia nafanyia ila leo nashangaa may be hujaaga huko?akacheka tukaendelea na safari

Hadi sasa gari ipo vizuri na nipo nayo bado nikajua amemind kwa gari kuzima ila nikasema ni kawaida ya magari hata liwe umetoka nalo show rum leo

Aisee.. Huna kosa, its one thing. Imebidi upitie hayo ili na sisi tuongeze maarifa. Mimi naamini, katikaviumbe vilivyo umbwa, vikaumbika ni wanawake. Nadhani wanaume ktk challenge Ngumu tulizonazo, ni pamoja na hii... Kumuelewa Mwanamke'...

Nadhani its beyond "Complication".. Huwa sijui How their "Brain" works.

Duh.. Aisee achana nae, kosea vyote, lakini sio Mwanamke wa kumpenda. Ha ha ha ha ha.. Watu wanakimbia Miji.
 
Pole.
Mpotezee kimya ajipe muda kujitafakari.
Akiona umuhimu wako na alipokosea akajirudi ndani ya muda, mrudishe.
Akikaa kimya muda uliojipa ukapita basi funga milango endelea na safari yako.
 
Mhh...sema haki ya Mungu, naogopa mie...Mara kesho asubuhi nakuta lijithread hapa...ooh Kim mmbeaa...nitakufwaa

Acha l gadem woga u know mi I know le gadem game sio mtoto hata njoo chap
 
Ila kusema ukweli mleta mada ulichofanya sio fair...kabisaaa. Hata kama ulihitaji kushare na sisi basi usingemtaja jina....
Duh sipati picha jinsi anavyojisikia Saa hizi...not fair bwana...Kama vipi malizeni tofauti zenu....

Love z just a beautiful thing...

Hebu onesha mkuu nilipomtaja jina?
Sijamtaja hata sehemu moja katika uzi wangu

Na mbona wengine huwa wanatajwa na kuja kujitetea na ku toa doa

Narudia sijamtaja bado namheshimu sana tena sana the way nilivyoumia nadhani bila sheria za Jf ningemtaja kabisa kwa kuwa ana deserve.
 
Pole sana Superbrand kama nilivyokueleza toka mwanzo weka hasira pembeni maisha bado yanaendelea,narudia tena nyimbo zangu na zingatia Serebuka Serebuka unaweza penda tena.....na tulia wanawake warembo na wenye kujitambua wapo ila unatakiwa uwe na macho embu imba huu......nipe macho nione macho eeee nipe macho nione sawasawa.

Kung'uta mavumbi maisha bado yanaendelea na yanapaswa kuendelea....kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Hebu onesha mkuu nilipomtaja jina?
Sijamtaja hata sehemu moja katika uzi wangu

Na mbona wengine huwa wanatajwa na kuja kujitetea na ku toa doa

Narudia sijamtaja bado namheshimu sana tena sana the way nilivyoumia nadhani bila sheria za Jf ningemtaja kabisa kwa kuwa ana deserve.

Haya...Pole baba...ndo mapenzi hayo
 
Back
Top Bottom