Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,468
- 2,144
Huwa anasoma soma habar ila sio mara kwa mara lkn yupodah ahsante haka ka startimes bhana,ngoja nibadilishe kingamuzi,bado anaripoti au anaendesha pindi gani hapo Azam tv
Huwa anasoma soma habar ila sio mara kwa mara lkn yupodah ahsante haka ka startimes bhana,ngoja nibadilishe kingamuzi,bado anaripoti au anaendesha pindi gani hapo Azam tv
Ni yupi huyu!!!?Wapi alipo Fatma Almas
tunaishi tabora tumebarikiwa watt wa wil ..sijiu nimekujibu??
Kuna binadamu huko nao wamezua YaoUmenua aisee, watu wanamuulizia Sauda wewe unaulizia Bensa8! we kiboko!
huyo jamaa Yuko wapi sasa..Dr. Shika.!?dah ahsante haka ka startimes bhana,ngoja nibadilishe kingamuzi,bado anaripoti au anaendesha pindi gani hapo Azam tv
TBC1Mi Naomba kujua alipo Sam Mahela..!
Weka Picha..
[/QUOTE ngoja wife arud tupige tukutumie
Huyu dada alikuwaga Channel Ten sioHivi Bahati mdetele Mwende yupo wapi siku hizi?
Kitengo gani!?TBC1
Bahati Mdetele NyembeHivi Bahati mdetele Mwende yupo wapi siku hizi?
Huyu alisha RIP kitambo
Kwahiyo na wew una gari. Ahsante kwa tariifaFatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
Huyu dada alikuwaga Channel Ten sio
Yuko wap Ndimwake Mwakalyeye alikua anatangaza kipindi cha Africa 54 cha VOA pamoja na Vicent Makori....yuko wap???
Mi Naomba kujua alipo Sam Mahela..!
jf hamna maskinKwahiyo na wew una gari. Ahsante kwa tariifa