Naomba kujua alipo Sauda Mwilima

Kumbe huu uzi wa kuomba mi naomba kujua ben saanane yu wapi..
JF ishageuka kituko tu. Jamaa kauliza swali, badala ya kumjibu, yanakuja maswali mengine tofauti na swali lililoulizwa!
La maana, ingeanzishwa thread nyingine ya maswali mchanganyiko, au ya kutafuta watu, au kitu!
 
Mimi namuulizia FREDRIK BUNDALA( sky worker) jamaa anasauti safi sana
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Mimi namuulizia FREDRIK BUNDALA( sky worker) jamaa anasauti safi sana
Ana chanel yake YouTube inaitwa sns japo mara ya kwanza alikuwa dizziness online tv na yenyewe pia ilikuwa YouTube channel....yupo muruaaaaa! ana vocal flan hivi deep sana.....
 
Sana,ngoja nimcheck
Ana chanel yake YouTube inaitwa sns japo mara ya kwanza alikuwa dizziness online tv na yenyewe pia ilikuwa YouTube channel....yupo muruaaaaa! ana vocal flan hivi deep sana.....
 
Fatma shemweta last time nilikutana nae Arusha maeneo flan akaniambia yuko kule siku hizi..
 
Una nini wewe unamuulizia mke wangu ili iweje,kwa taarifa yako mwezi ujao anajifungua mtoto wetu wa 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom