Naomba kujua alipo Sauda Mwilima

Na mimi nimuulizie yuko wapi Glory Robson mtoto alikuwa na saut nzuri sana.
 
Fatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
Kwahiyo na wew una gari. Ahsante kwa tariifa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom