Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,604
- 29,608
- Thread starter
- #141
Shukrani sana mkuu.!Mleta hoja; Kama hujaolewa; Ukiolewa usikubali mumeo atoke home bila kunywa chai yenye kitafunwa hata kiporo cha wali kidogo. Hatakaa ale kwa mama ntilie. Utaiponya ndoa yako.
Jitahidi kuamka mapema zaidi kama ni kurudi kulala iwe baadaye akishatoka. Kama mnatoka wote kwenda kutafuta; Wewe amka mapema zaidi huku ukimwandalia vyema. Hatakaa akurupushwe na viruka njia vya ofisini kwake. Atakutafuta mchana mkale wote.
Point noted verily.!!