Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Kama mke lazima asubuhi niandae kifungua kinywa kwa mume kabla hajaenda kazini.
Kutokana na mazingira yetu ya foleni kutompa nafasi ya kupata kifungua kinywa kwa utulivu , najiongeza kwa kununua flask ndogo na container ambayo naweza muwekea akale ofisini.
It's a good gesture na kumuonyesha kuwa unamjali afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
uwiii,libarikiwe tumbo lako. Shikilia hapo hapo,naamini ni malezi toka ungali mdogo na hujayubishwa na hawa sijui "motivation speakers"
 
Haya mambo ya kudamka kupika khaaaah!![emoji134][emoji134][emoji134] Ama kweli ni wito.
Mama ukishapenda unajikuta unafanya tu tena kwa moyo na mapenzi yote, sijui inakuwaga ni nini.!!
 
Hi guys,
Habari zenu, natumaini mpo salama japo najua hali si shwari, kwani hofu ya corona imetawala kila pande ya dunia, tuendelee kuomba Mungu atulinde wakati huo huo tukifuata maelekezo yote yatolewayo na wizara ya afya..!!

Naomba nitoe hili jambo, katika mfumo wa swali naamini kuna wajuvi wa kutosha humu na watanisaidia barabara katika hili,

Kuna siku asubuhi tulikuwa tupo pahala na baadhi ya wamama watu wazima kama wawili na mkaka mmoja, kila mmoja kaingia mule ndani kwa ajili ya shughuli zake, akaingia mkaka mwingine, alivyomkuta mwenzie pale ndani, akamuambia 'bora hata nimekuona, twende tukapate breakfast, njaa inaniuma mno', na kweli yule mwenzie akamsapoti vyema kabisa kuwa na yeye njaa inamuuma hasa,

Wale wamama wakawashangaa, mmoja akamuambia 'wewe si tumekuozesha tu mwaka Jana? Umeshaanza kutoka nyumbani bila kuandaliwa chai mapema hivyo.!?'
Akacheka, 'hamna bwana nimemuacha amelala sitakagi kumsumbua'.! Mwenzie akachangia kuwa wanatoka wote na mkewe alfajiri na mapema, huo muda wa kuandaa chai asubuhi utatoka wapi.?

Wale wamama wakawasema sema pale, si busara mwanaume mwenye mke kutoka nyumbani bila kupata chochote asubuhi bwaana, wakaongea ongea pale, wale wakaka wakaenda zao.! Kiukweli hata sikuchangia chochote, niliona kabisa hayanihusu, wale wamama wakanigeukia eti 'binti hivyo ndivyo tunavyowafunza mkaishi na waume zenu? Nikajifanya pale 'ujue mama kila familia ina taratibu zake na pia wana makubaliano yao, hivyo kila familia inafanya kile inachoona wao wapo sahihi'.!

Sikutaka kutia comment yoyote katika lile sababu sikujiona kama nipo kwenye position ya ku-judge ama niko na 'eksipiriensi' ya kutosha katika masuala hayo yawahusuyo wanandoa, japo kiukweli sijawahi ona mtu aondoke nyumbani kwa Mama Carleen hata awe mgeni wa kuwahi basi la alfajiri eti atoke bila kutia kinywani chochote kitu, na ndivyo nilivyokuzwa nikaaminishwa hiyo ndiyo busara.!

Je, kiukhalisia kwa kuzingatia mfumo mzima wa maisha yetu ya kudamka hata kabla ya jogoo kuwika hiki kitu kipo applicable? Na kama ni ndiyo, Je, kwa ambao hawafanyi hili, hivi ndiyo inamaanisha kuwa kuna mahali tunafeli sisi kama wanawake?? Japo wanaume wetu baadhi wanaonesha kuridhika na hili, hivii ni kweli wanaume wetu mmeridhika au ndiyo zile za, wacha tu tulisongeshe gurudumu la maisha..??
ndefu mno sijasoma
 
@carleen watu tunatofautiana sana katika maisha.
Mimi binafsi hata uniandalie b. Fast nzuri kiasi gani kabla ya saa 3 asubuhi na kuendelea siwezi kutia kitu kinywani, nitaonja tu na kuonfoka.
Huwa najisikia kuweka chochote kinywani kuanzia saa 3.
Hivyo watu tunatofautiana sana kama alivyosema @Noelia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo wengi pia ni mazoea kutokana na harakati za maisha kiukweli.!!
Haha, yaani niandae bf nzuri upite zako hapo race kama huioni.?? Utaja kuila kama dinner walaqhi'..!!
 
Ah wee chura na sura muhimu... Hao wachungaji wenyewe umewaona wake zao
Pisi zimesimama balaaa. Tabia baadae bwana kwanza mvuto.
Kwahivyo ndiyo basii tena nimeshaikosa bara na pwani??
 
Ndiyo wengi pia ni mazoea kutokana na harakati za maisha kiukweli.!!
Haha, yaani niandae bf nzuri upite zako hapo race kama huioni.?? Utaja kuila kama dinner walaqhi'..!!
Nionja ikiwa ni juice/kahawa etc..narudia nitaonja tu kukuridhisha, kama umeandaa sausage ntakuomba uniwekee kwa lunch box/takeway ntakula kazini.
But ukinilazimisha sitakuridhisha
 
Nionja ikiwa ni juice/kahawa etc..narudia nitaonja tu kukuridhisha, kama umeandaa sausage ntakuomba uniwekee kwa lunch box/takeway ntakula kazini.
But ukinilazimisha sitakuridhisha
Nimekuelewa vizuri kabisa mdogo wangu, ila umesema tu sausage, akili yangu ikavurugika walaqhi'...
Nitakukaribisha nikiwa nakula baadaye!!
 
wote mmelala saa 5, mshapiga viroba vyenu...wote mnaamka saa 10, game ya alfaji, mnaamka 11.30, mnatoka saa 12.30....kila mmoja anatoka na bilauri lake la kahawa....kuziandaa ni jinsi mepenavyo...leo yeye kesho mimi...but sio ratiba ni mahaba tuu....on weekend breakfast, lunch and dinner,,,,familia nzima in one table....thats it....
 
Back
Top Bottom