Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Ukipata wazo la kuoa Mr. Mzabzab unishirikishe, huwezi jua naweza nikafanya maamuzi magumu maana si kwa 'wepesi' huo kaah', familia itakula kwa mama 'nitilie' mpaka ikome..!!

Hahaha wee unaangalia wepesi wa kutokupika. Ujue kunashughuli ya kugegedana mana ni dozi kwatwa mara tatu hahaha.
Alafu mie sina mpango wa familia. Wee njo nikuwowe tuenjoy life tukashangae dunia. Shida ya kulea mie sitaki kabisa
 
Mimi kwakweli lazima ninywe chai ya asubuhi na naithamini kuliko mlo wowote ule. Na mke wangu analinus hilo. Ingawa wengine husema hawawezi kunywa chai kabla ya saa 3 mi kwangu nimezoeshwa na mama mzazi kunywa chai pindi ninapoamka. Na ni ngumu kuendelea na kazi yoyote bila kifungua kinywa. Haijalishi ni saa ngapi, hata saa 11 asubuhi nakunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapambana nahali zetu.... Kwaupande wangu sio inshu nawala sijawahi kuwaza kunywa Chai nyumbani kama ninaratiba yakwenda job. Vilevile nitachelewa job.

Imagen natoka job saa3 usiku ndio nafika home, nioge, Nile chakula nimle nampishi mpaka kulala nisaa7. So uwezo wakuamka sa10 mimi namwenzangu nimdogo sana kwahiyo hapo tunaamka Saa12 tunajiandaa fasta fasta tunasepa tena kwakuchelewa.

Kwahiyo mwenzangu hana muda wakuniandalia Chai labda kama angekuwa mama wanyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani inategemea na mfumo mzima wa maisha....

Mfano kwa upande wangu. Huwa naamka asubuhi najitemgenezea chai mwenyewe na mara nyingi mimi ndiye naanda chai maana nawahi kuamka.
 
Nikifurahishwa nadamka saa kumi na moja chai tayari ikiwa kinyume kwakweli ni ngumu kupata hiyo mood ya kuamka mapema kuandalia mtu chai

Kwa wageni inategemeana na aina ya mgeni
@Noelia mimi sijakuelewa. Yaani kutimiza majukumu yako kama mke it need kuwa na mood ndo ufanye??

Kwanini usione upo liable kutimiza majukumi yako lather than kusubir ufurahi ndio ufanye.

Labda nikuombe tu, ww kama mke to somebody jitahidi kutimiza majukumu yako

Zala Na Nga
 
@Noelia mimi sikakuelewa. Yaani kitimiza majukumu yako kama mke it need kuwa na mood ndo ufanye??

Kwanini usione upo liable kutimiza majukumi yako lather than kusubir ufurahi ndio ufanye.

Labda nikuombe tu, ww kama mke to somebody jitahidi kutimiza majukumu yako

Zala Na Nga
Kutimiza majukumu sio upande mmoja ni zote mbili
 
Maisha yamebadilika wanawake wanataka haki sawa ila kiuhalisia labda kama naenda kazini saa1 au SAA 2 asubuhi ila Mimi nadamka saa10 au 11 nimuamshe mke wangu au mpenzi anichemshie chai itakuwa kuumizana wakati gesi kuchemsha chai dk5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nyumba, mtu au familia ina utaratibu wake.

Binafsi siyo mtu wa chai au tuseme mimi siyo 'Mlaji' sana.

Kwahiyo sina ratiba hiyo kwamba asubuhi ni lazima nipate break fast.

Nikiwa na njaa wakati wowote ule nakula tu nitakachojisikia kula wakati huo au kilichopo.
 
Back
Top Bottom