Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

That is a gentleman....usawa huu....unataka assist hata hatuja Juana vizuri.

Usirudie tena hiyo mistake.
Hahaaa hahahaaa ... anaomba assist kama naniliu yule mzee wa assist ukimpa tu anakuchunia. Kajigeuza Ronaldo anaomba Assist toka kwa Gareth Bale..!
 
Ni akili zenu mmeziweka negative tu.
Mazingira yapi saa? Maana mazingira yanatofautiana. Basimkianzisha mahusiano muwe mnakuwa clear umuelezee mwenzio kuwa "mazingira yafuatayo ndio nitayaelewa ukiniomba pesa".
Mi navyoona mwanamke anapaswa kupewa bila kuomba so kama haya yanatokea .I've nothing to say.
 
Muulize kana namuombaga...[emoji34]
Na akikubali, nitatembea bila nguo tokea Ushirombo hadi Chato...[emoji12]
Amesema unamuomba na hata nyumba mnayoishi ni ya mkweo[emoji85] [emoji85]
 
Labda ulikuwa una tatizo kweli!wakati wa uitaji iyo ela ndio tatizo!bora ungefika eneo ka tukio na kuomba ela..vinginevyo...!
Si ndio hapo sasa.eti wapange kuonana labda jamaa ana nyege zake huko.mwisho anamwambia siji nimepata tatizo nitumie pesa.hahahhahahha wachache wataweza kumuelewa. Usawa wenyewe huu wa magufuli.duh!
 
Akili yako imewaza mgegedo tu maana ndipo ilipoishia!!!
Hapo mwenye mentality mbovu ni nani sasa!
That's what you meant! And this isn't a question.... So am supposed not to answer.
 
Amesema unamuomba na hata nyumba mnayoishi ni ya mkweo[emoji85] [emoji85]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kumbe mini mario Mzee....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu ngoja nikule mema ya kwenye hii dunia
 
Amesema unamuomba na hata nyumba mnayoishi ni ya mkweo[emoji85] [emoji85]
Alafu hii tabia ya kua unanitolea siri za ndani.... Misipendi ujue....[emoji25] [emoji25]
Onasasa hapa ukweni kuna lijamaa limo humu, kumbe huwa linanifuatilia na sasa hata haka kaboma ka hapa ushirombo naona wanakaribia kunitupia mifuko ya Rambo na nguo zamimi kwenye hadhara.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nikifukuzwa nakuja kubebika kwako huko daslam....[emoji13] [emoji13]
 
Inaonekana ulitaka jamaa akutumie hela then uanze kumpa visababu vya uongo na kumpiga kalenda. Hizo mbinu siku hizi wengi wanazijua.

Mimi binafsi ukianza kunitangazia shida zako kabla hata hatujafahamiana vizuri nakuchukulia kuwe wewe ni paka shume. Nitakupotezea au nitakwambia uje uchukue ili hiwe nipe nikupe.
 
Alafu hii tabia ya kua unanitolea siri za ndani.... Misipendi ujue....[emoji25] [emoji25]
Onasasa hapa ukweni kuna lijamaa limo humu, kumbe huwa linanifuatilia na sasa hata haka kaboma ka hapa ushirombo naona wanakaribia kunitupia mifuko ya Rambo na nguo zamimi kwenye hadhara.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nikifukuzwa nakuja kubebika kwako huko daslam....[emoji13] [emoji13]
Akuuuu!! Ubakie huko huko, yeye ndio anakuweza.
 
Mleta uzi, yaani mbona umepanic kupita kiasi!?

Calm down baby.
 
Back
Top Bottom