Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

[emoji3][emoji3] malizia hapo chini tupeane uzoefu bwana.

Ikiwezekana na mbinu za za kukwepa hizo B52 kabisa.

Kwenye mapenzi mizinga haikwepeki labda na wewe uwe na teknolojia kubwa ikija uielekezee baharani kama afanyavyo Mmarekani.

Ila kama teknolojia yako ndogo kuna mizinga ingine ni makombora kama yale ya nagasaki na hiroshima hayakwepeki likija Unalo na likikupata linaacha maafa kizazi kwq kizazi kama mjapan sasa hivi. [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hivi unavyoniona natokwa na povu humu,ni sababu ya hayo mabomu ya Nagasaki na Hiroshima coz yameniathiri sana, mpaka nikaona sina budi kutumia teknolojia ya mmarekani ambayo inagharama ya hali yajuu.

Hapa nilipo nimeshayatupilia mbali mabomu kadhaa,ila inahitaji moyo sana mkuu maana kuna mabomu mengine yanatumwa na mataifa yenye ushawishi ktk kila idara .....unakuta taifa lina rasilimali za kutosha kama TZ.Inahitaji moyo waki boko haram walau kulikwepa tu!
 
Hela ni ndogo mno niliyomuomba ila nilimshangaa sana.......uwa sipendi kuomba hela kwa mwanaume ila nilijikuta nimemuomba kutokana na situation niliyokuwa nayo
tatizo sababu ulizotoa zina utata kuna kila harufu ya kuchunwa lazima aogope.. ungeongea simple tu naomba uniazime kiasi flani Nina shida sana baas!
 
Uchoyo tu na roho mbaya ndio maana wanatafutia na majina oooh "unajiuza" ili ujisikie vibaya usiombe, mara si umuombe mzazi wako, yeye why asimuombe mzazi wake!!!
Kama kapotezea nawe mpotezee tu, mwanaume mchoyo hivyo hata mkiingia kwenye ndoa atakuwa ni tatizo tu, ndio wale wa "nyumba yang,kochi langu,tv yangu" full uchoyo na ubinafsi.
Teh teh! sio kwa mapovu haya ngoja tuendelee kucheki movie
 
Dah, kuomba pesa kwa mwanaume ni mtihani sana, kuna kipindi yakinifika nakuwaga omba omba kwa rafiki zangu na sio kwake,



spend less, save more
 
Hahahahahaaaaaa yani alinichekesha sana nikamuona wa ajabu ila nashukuru nimeweza kumjua ni mtu wa aina gani na tungepotezeana muda tu
Wanawake mnashangaza sana mi kuna msichana aliniomba hela nikamwambia sina(ni kweli nilikuwa sina kwa wakati huo) akanambia watanipa wenzako nikamwambia poa! Tabia zenu zile zile wengi mnafaa kwa matumizi tu ila sio kuweka ndani
 
Poleni nyie mnaopenda kuomba omba hela wkt wa kuanza tuu mahusiano wala hamjafikia mbali hii tabia ni mbaya sana kwani yy ndo ana bank? Ukiomba tuu upewe na hali hii ngumu hivi.
 
Umebehave kirahisi rahisi..jifunze kujua jinsi ya kuomba hela sio unaomba hela siku ya kwenda kugongwa au baada ya kupeana appointment..na kama hupendwi ndo unakosa vyote
 
Soma vizuri utaelewa maana naona unaongea tu
sema sasa shida yako hapa wana Jf wakuchangie hela Jf hakishindikani kitu.. Ila usimuache jamaa kisa hajakupa hela utakuwa ulimpendea hela
 
Mkuu hivi unavyoniona natokwa na povu humu,ni sababu ya hayo mabomu ya Nagasaki na Hiroshima coz yameniathiri sana, mpaka nikaona sina budi kutumia teknolojia ya mmarekani ambayo inagharama ya hali yajuu.

Hapa nilipo nimeshayatupilia mbali mabomu kadhaa,ila inahitaji moyo sana mkuu maana kuna mabomu mengine yanatumwa na mataifa yenye ushawishi ktk kila idara .....unakuta taifa lina rasilimali za kutosha kama TZ.Inahitaji moyo waki boko haram walau kulikwepa tu!
[emoji23][emoji23]
 
Point of Correction;

1. Wakati anaomba nilimweleza bayana itakuchukua dakika 45 mpaka lisaa limoja coz kuna ishu nafanya, hvyo nilimtaarifu.
2. Sikatai kosa, coz najua mimi ni mkoseaji mzuri tu but hata tunapokoseana jambo zuri ni kuongea
Sawa mkuu.Huenda ilichelewa kufika na ukumbuke hawa wenzetu huwai kuwa na jaziba. Unajua wanawake wana mambo mengi sana. Ukumbuke hawa ni viumbe kwahiyo inabidi tuishi nao kwa akili. Mkuu suala la mapenzi ni gumu sana lkn kwann haya mambo mwenzako kaleta humu? Mngeyamaliza bila kuyaleta humu ingekuwa bora sana.
Mkuu mkae chini myamalize kuliko kujifunua humu JF. Vinyongo na visasi havileti suluhu katika mapenzi.
NIMEKUELEWA MKUU 100% MWANZO SIKUONA POST ZAKO. UTANISAMEHE KWAHILO. NAOMBA MKAE CHINI MYAMALIZE HATA KAMA KILA MTU ATACHUKUA 50 ZAKE LAKINI MYAMALIZE KWA ROHO SAFI. DUNIANI TUNAPITA NA HAYA NI MAISHA TU
 
mkuu tuna mwezi mmoja
Pole sana
Mm mwenyewe huwa tunasumbua na shemeji yako. Huwa ananiomba hela, unamwambia subiri kidogo. Baada ya dk kadhaa simu zinamiminika kutoka kwake ila ukishatuma tu. Hakupigii tena mpaka ww umpigie na huwa inanitokea mara nyingi sana. Huwa nakereka sana na kuchukia lkn huwa nakunywa maji mengi na kukaa kimya. Inabid uwe mvumilivu tu ila nashukuru hatujawahi tukanana hata siku mmoja. Kuwa mpole tu ndiyo mapenzi yalivyo
 
Bahili tu kwani ulimwomba nyingi? Angekupa akakupima.

Binafisi sijawahi kuomba hela kwa mwanaume yeyote sio kwamba sina shida niko tiyari kukopa kwa shoga ila sio kumwomba pesa mwanaume. Wanaume wengi mibahili mwanzo mwisho bora ufe na shida zako kuliko masimango.

Hela ya viumbe hawa ni chungu sana ukimuomba anakutafutia sababu. Binti ukizidiwa kopa kwa mtu baki ila sio mpz.

Kinachonishangaza wakiwa na shida tuko tiyari kwa lolote ili mradi tuwasaidie ila wao kutusaidia waziiito kama nn.

Wanaume make mkijua kuwa nyie ndo chanzo cha wanawake kuchepuka.sisi tukipenda unasahau yote ya zamani mapenzi tunahamishia kwa mpz sasa mpz gani kaombwa pesa kasepa kimya kimya? Kwa nn mtu usimkumbuke x wako ambae alikuwa anajiongeza hata usipomwomba? Hii ndo moja ya sababu sitowahi kuomba mwanaume pesa yake.akijua nina shida atume asipotaka aache.
Ndoto yangu sikuzote nikupata mwanmke mwenyetabia kama yako ebu njoo inbox mama tuyajenge minipo naishi Mwanza mwanza
 
Hiyo sio shida ya pesa ila nilimuomba kwa kuwa nilikuwa mbali na hela nilikuwa nayo sema yeye ndo alikuwa mtu wa karibu angeweza kunisaidia
Usiludie ludie tena kuomba PESA watu koma kabisa halingumusaizi
 
Ila nyinyi mkiwa na shida zenu mnataka kupewa bila pingamizi.....OMG
Ndio lilikuja ghafla na sikumlazimisha anipe sema alichonishangaza mimi nampigia simu nimwambie mambo mengine yeye anaogopa kupokea yani alinichekesha kwa kweli maana nilimuona hajielewi
We we ndio ujielewi aliekwambia uniombe hela mapema ata atuja duduana ndiyo maana nikaamua kuuchuna mpaka sasa Na kwataarifa yako ulizani ukija huku JF kuomba ushauli sito jua. Nakupimia tu
 
Back
Top Bottom