Abby Olla
Member
- Jul 9, 2017
- 23
- 38
Sijawahi kumtumia ati, na pia nashkuru kwa hilo😵😵Hata ivo una moyo shoga, hujawahi kumuomba hela, anakutumia bure bure
Sijawahi kumtumia ati, na pia nashkuru kwa hilo😵😵Hata ivo una moyo shoga, hujawahi kumuomba hela, anakutumia bure bure
Ndiyo bossKumbe....
SwadactaaaaHaha wewe jamaa unakesi ya kujibu walai.
Mbona hili suala la kuombwa umelishikia njuga hivi au na wewe ni mhanga?
Naomba jibu ulitume kisha toa copy tatu moja iende KWA chama cha wanawake JF yaani CWJ ingine iende pm ya mweka hazina.
Nyingine mtumie CEO wa chama AKA kubwa la maadui pm.
Amen!Huyo wala hakupendi na hakuna mapenzi hapo zaid ya ngono. Mpenzi wako kukuomba hela ni kitu cha ajabu? Ni mambo ya kawaida katika mahusiano. Huyo hata akikuoa jiandae kisaikolojia maana utateseka sana. Hawa ndiyo wale wanaume baada ya kupata watoto anaoa mke wa pili na kukuacha. KUWA MAKINI UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO
Nishamsoma. Nilikuwa nimeshacomment tayari ila baada ya kuona comment yake nikashindwa hata kuifuta.Usihukumu mtu, eti hampendi? Ulijua jamaa alikuwa wapi au kapatwa na nini??
Msome Abby Olla hapo juu halafu linganisha..
Mkuu sikufichi kadhia kama hii toka Kwa hawa viumbe imeshanicost Mara kadha,kuna kipindi niliwahi kujiona boya mwenye kiwango cha hali ya juu.Acha tu mkuu...Haha wewe jamaa unakesi ya kujibu walai.
Mbona hili suala la kuombwa umelishikia njuga hivi au na wewe ni mhanga?
Naomba jibu ulitume kisha toa copy tatu moja iende KWA chama cha wanawake JF yaani CWJ ingine iende pm ya mweka hazina.
Nyingine mtumie CEO wa chama AKA kubwa la maadui pm.
Nishamsoma. Nilikuwa nimeshacomment tayari ila baada ya kuona comment yake nikashindwa hata kuifuta.
Wote wanamakosa hapo na ukiangalia wote hawana true love mahusiano yao ni yale ya kupeana kampani. Haya ni mambo madogo sana katika mahusiano.
Kitu kingine jamaa kafanya makosa sana. Hata kama alikuwa in the middle of something serious kwann hakumtaarifu? Unamtumia sms tu, Honey nimepata shida kidogo nitakutumia baada ya lisaa 1 au zaidi Na pia mwanamke anamakosa sana kwann aanze kutukana bila kuuliza kwanza? Hapo hakuna mapenzi.
KUHESHIMIANA NI JAMBO LA MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO SBB MTAJALIANA.
[emoji3][emoji3] malizia hapo chini tupeane uzoefu bwana.Mkuu sikufichi kadhia kama hii toka Kwa hawa viumbe imeshanicost Mara kadha,kuna kipindi niliwahi kujiona boya mwenye kiwango cha hali ya juu.Acha tu mkuu...
Nishamsoma. Nilikuwa nimeshacomment tayari ila baada ya kuona comment yake nikashindwa hata kuifuta.
Wote wanamakosa hapo na ukiangalia wote hawana true love mahusiano yao ni yale ya kupeana kampani. Haya ni mambo madogo sana katika mahusiano.
Kitu kingine jamaa kafanya makosa sana. Hata kama alikuwa in the middle of something serious kwann hakumtaarifu? Unamtumia sms tu, Honey nimepata shida kidogo nitakutumia baada ya lisaa 1 au zaidi Na pia mwanamke anamakosa sana kwann aanze kutukana bila kuuliza kwanza? Hapo hakuna mapenzi.
KUHESHIMIANA NI JAMBO LA MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO SBB MTAJALIANA.
Ubahili tuuu[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Nilikuwa na mengi yakusema kuhusu Hawa viumbe, nimetoa nyogo Lol![emoji23] [emoji23] [emoji23]Swadactaaaa
Kwa hiyo Amina alianza kuuza keki kabla ya maandazi.Ndiyo boss
Alianza na keki na mama mmoja alikuwa anatokea kisosora sema wazee wa quantity wakawa wanazingua na soko kubwa ni wao.Kwa hiyo Amina alianza kuuza keki kabla ya maandazi.
Kama nakuona vile na likikombe la maziwa unasubiri waletwe
mkuu tuna mwezi mmojaBoyfriend wako tangu lini?
Nimekumbuka. Zilikuwa Ni half cake. Sema wale wamama walicompete Ila Amina alikuwa monopoly.Alianza na keki na mama mmoja alikuwa anatokea kisosora sema wazee wa quantity wakawa wanazingua na soko kubwa ni wao.
Akaja na yale mavitu.