Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi,Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.

Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa Mkoa mwingine kwenda kufunguliwa mashitaka mengine.

Anapelekwa Gereza lingine na Mkoa mwingine bila hata taarifa za Removal Order ya mahakama kutolewa.

Pia mshitakiwa huyu alieko chini ya ulinzi kama Mahabusu,huko Kisongo,anahamishiwa mkoa mwingine bila hata wakili wake kupewa taarifa.

Huyu mtu sio mfungwa kwa sasa bali Mahabusu.
Tena ambaye hukumu yake ni mwezi wa sita huu siku ya tarehe 10.

Halafu amehamishwa kwenda mkoa mwingine,na kusomewa mashitaka ambayo hata hajawaji kuhojiwa au kutakiwa kutoa maelezo yake na vyombo husika hapo awali.

Je!
Anachokihubiri Rais Samia na yale yanayoendelea kwa watendaji wake vinafanana?

Je!
Ni nani yuko nyuma ya hii Project Sabaya?

Katika kesi aliyoachiwa huru tulisikia tuhuma za kaimu DPP Kweka.
Ambaye alihusishwa na Familia ya Mbowe kama mkwe wake.
Akihamishia makazi kwa muda pale Arusha kwa kuisimamia kesi ile.

Sasa tunalazimika kuamini kwamba haya mambo yamerudi na yanashamiri kwa kasi.

Time will Tell!

Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni.
Tulia dawa iingie,alivyokuwa anatoka kituo chake cha kazi Hai na kwenda kufanya Ujambazi Arusha au Moshi Mjini alikuwa na Movement Order au Ruhusa ya nani??hata Mkuu wake wa Mkoa alikuwa hajui sembuse RAS!!!kaa kwa kutulia hivyohivyo!!!na leo atalala Mahabusu ya Jela ya Karanga pale Moshi lazima masela wamle Tigo mamamae,What Goes Around Comes Around
 
Kama amelipwa kinachomfanya aendelee kukaa kwa amsterdam ni nini , au ukuni

Acacia hawajatushitaki MIGA sasa
Yule amepewa majukumu mengine kule kama muwakilishi wa wale watu wa faragha Barani Afrika.
 
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi,Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.

Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa Mkoa mwingine kwenda kufunguliwa mashitaka mengine.

Anapelekwa Gereza lingine na Mkoa mwingine bila hata taarifa za Removal Order ya mahakama kutolewa.

Pia mshitakiwa huyu alieko chini ya ulinzi kama Mahabusu,huko Kisongo,anahamishiwa mkoa mwingine bila hata wakili wake kupewa taarifa.

Huyu mtu sio mfungwa kwa sasa bali Mahabusu.
Tena ambaye hukumu yake ni mwezi wa sita huu siku ya tarehe 10.

Halafu amehamishwa kwenda mkoa mwingine,na kusomewa mashitaka ambayo hata hajawaji kuhojiwa au kutakiwa kutoa maelezo yake na vyombo husika hapo awali.

Je!
Anachokihubiri Rais Samia na yale yanayoendelea kwa watendaji wake vinafanana?

Je!
Ni nani yuko nyuma ya hii Project Sabaya?

Katika kesi aliyoachiwa huru tulisikia tuhuma za kaimu DPP Kweka.
Ambaye alihusishwa na Familia ya Mbowe kama mkwe wake.
Akihamishia makazi kwa muda pale Arusha kwa kuisimamia kesi ile.

Sasa tunalazimika kuamini kwamba haya mambo yamerudi na yanashamiri kwa kasi.

Time will Tell!

Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni.
Mbona inajulikana. Acha kwanza watese. Muda ni wakili mzuri.
 
View attachment 2247466
Mwiba aliotumia sabaya kuwachoma wtanzania wenzetu, inabidi utolewe jinsi ulivyoingia. Mambo ya kota pini
 
Huyu kibaka tunae iwe mvua,iwe jua,iwe baridi,iwe joto😁😁😁
EEFQa.jpeg
FUJ33aNWYAAFk9a.jpeg
 
Tulishasema tunaachana yaliyopita tunaanza ukurasa mpya kama ilivyofanyika kwa mbowe,Lisu na wengineo sasa kwa upande wa Sabaya mbona mambo ni tofauti kama ilivyokuwa kwa hao wengine ambao hawaishi vihoja kila kukicha.Tusameheane jamani.
 
Hizi kesi zilizobaki ni kesi uchwara tu za kina Kweka na ambazo hawataweza kuzithibitisha.
 
Back
Top Bottom