Nani yupo kwa JB Mpiana....

Nani yupo kwa JB Mpiana....

Preta umeamkaje?? vipi nyonga zako??
 
Last edited by a moderator:
shostito....kwani ni nyonga basi....miguu....si unajua jinsi mutwashi ulivyo na zahama......
chezeiya miserebuko ya ukubwani weye?? ni balaa!! vipi ulikuwa na hubby au kiserengeti??
 
chezeiya miserebuko ya ukubwani weye?? ni balaa!! vipi ulikuwa na hubby au kiserengeti??

VIP ilikuwa 100,000 ujue.......hiyo ingenigharimu mimi......200.000 (ningekuwa ICU saa hii).....no way.....
 
Ndio jee...hapa 3A...Chugga town....njoo tucheze mutwashi....ni alhamisi ndio kwani nini......
...kumbe yule ndio JB Mpiana..nilimuona Airport siku anakuja..nikajua mchezaji Mpira kaletwa na FIFA...duh..haya mamii kula BATA..
 
Hapa mimi hapanihusu..maake hii miziki ya kongo siifagilii hata kidogo..anyway nilikuwa nasikia kelele za miziki ya akina P-SQUARE,...and the like mara kwa mara.....nilikuwa hapo Check Point bar mpaka machueo.
 
Back
Top Bottom