Nani yupo kwa JB Mpiana....

jishangalie tu shem wangu TANMO, huyu mdaiwa wa FINCA huyu, ni balaa!!

Shem huyu Jamaa anapenda kweli umbeya...
Halafu Shem hebu nikumbushe U-shem wetu ni kwa nani? Manake kidogo nitupe ndoano kwako.. :shut-mouth::confused2:
 
Preta jana wenye ile kona 3A,unakaribia kuzima nilikuona,nkakufwata pale juu...ulipendeza sana,nikakuwasha hili lipicha,ulikuwa umependeza....embu jionee,alafu ujikane,this is beyond ur avatar

252335_4956818801193_438298090_n.jpg

kapendeza ,hajapendezaaaa?
 
Last edited by a moderator:
hebu Bishanga njoo utoe ripoti jana ilikuwaje......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom