Nani yupo kwa JB Mpiana....

Nani yupo kwa JB Mpiana....

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Ndio jee...hapa 3A...Chugga town....njoo tucheze mutwashi....ni alhamisi ndio kwani nini......
 
ha!...mmelala....?
 
Preta, hujambo mama?
Pole na upweke.
avatar20103_30.gif.png
 
ujue preta nilikuwa sikufahamu,kumbe we ndo mdada ambaye ulikuwa VIP triple A na alfajiri ukaondoka na kile kibabu kidhungu? Aissee!
 
ujue preta nilikuwa sikufahamu,kumbe we ndo mdada ambaye ulikuwa VIP triple A na alfajiri ukaondoka na kile kibabu kidhungu? Aissee!

OMG! Bishanga you are totally wrong! Preta hayuko hivyo umdhaniavyo. Mtake radhi
 
Last edited by a moderator:
ujue preta nilikuwa sikufahamu,kumbe we ndo mdada ambaye ulikuwa VIP triple A na alfajiri ukaondoka na kile kibabu kidhungu? Aissee!

hata zeruzeru sikumuona........labda walikuja badae coz nilizizi........
 
Back
Top Bottom