DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,816
- 18,280
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.
Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.
Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama.
Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu.
Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.
Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima?
Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?
Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani
Mtetezi wa mama๐๐๐๐
Chawa wa mama ๐๐๐๐๐
#Nyuki wa Mamaa ๐๐๐