utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Mwenzangu nkija kusutwa ndio ntakoma
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Leo nimekaa sanaMimi mzima sana
Mwenzangu nkija kusutwa ndio ntakoma
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Leo nimekaa sanaMimi mzima sana
Eeh naona siku hizi wajitahidi😛😛😛😛
Mimi mzima sana
Hata mimi. Hulali wewe?
Hahaha kama leo ndo sina usingizi kabisa
Mkuu bado hujalala?
Hata mimi. Hulali wewe?
Hahaha kama leo ndo sina usingizi kabisa
Silali napiga stori apa
Twende tukatembee kule siasani wewe mdada.
Twende tukatembee kule siasani wewe mdada.
halafu tangu nimesafiri mwenendo wako umebadilika mara uchemshiwe maji, mara mkatembee mnanipa mashaka wewe na farkhina ujue
Mie nitakuogesha ..kubeba
Kule ni mpweke nakusubiria...
Wambeya usiwape nafasi
aisee... Ngoja nikufikirie kwanza!
Ngoja nifanye mpango nije pande zile mi mwenyewe nimekumiss atii
Habar ya wewe?