Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hahahahahahaha hujijui lol...

Alafu watu8 anavokutafuta mie nshachoka kelele zake mara weee umenionea wapi huyu mtu mara nimmemiss.....

Nimemwambia kuna mtu anamzuzua ndio mana katubwaga na swimming hadi leo hajatupeleka...🙄🙄🙄

Afadhali naona umefanikiwa kumleta huyu bi mkubwa hapa maana nilikua nishapata weweseko la nafsi miye.

Huo mtoko ni boxing day we kuwa tayari tayari maana ni karibuni tu hapao hahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom