Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Mwenzangu nkija kusutwa ndio ntakoma
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tena mi sitakuepo kabisaaa....
Mwenzangu nkija kusutwa ndio ntakoma
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Karibu sana
hii ndoa nimefungishwa na nani ajitokeze mbona kama sio batili???Ndo ujijue sasa....na utulie kwandoa yako sio shingo ndefu kama twiga
Habari za hapa?
Wadau leo ntakuepo hapa kwani ntakua zamu lindoni kwahiyo mida mida ngoja nilale sasa.
hii ndoa nimefungishwa na nani ajitokeze mbona kama sio batili???
huku joto tu!!Kwema Cjui kwako/kwenu
Bora hata na ww umeshtuka shostito!Ngoja mumeo aje aseme mana ata mi sielewi ndoa gani ya kisirisiri namna hii?
huku joto tu!!
Bora hata na ww umeshtuka shostito!
Habari za hapa?
Arushaone kuanzia leo usinisemeshe nsije piga makofi bure na Lady doctorhalafu tangu nimesafiri mwenendo wako umebadilika mara uchemshiwe maji, mara mkatembee mnanipa mashaka wewe na farkhina ujue
aisee... Ngoja nikufikirie kwanza!
Ngoja nifanye mpango nije pande zile mi mwenyewe nimekumiss atii
heee mwenzangu naona watangaza ndoa nipo singo eti ndo maana nipo huru.....Aiseee naomba utangulie mwenyewe nyumbani,semina gani haishi huko?
nimefichwa shost....Iv ulikua wap lakini?
:evil::evil::spit::lock1::attention::cool2::boink::caked: ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
nimefichwa shost....