Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Swalaaaaaa.... Swalaaaaaa......

Swali kabla hujaswaliwa!!

Hamjamboni wapendwa?

Nambe ulifichwa wapi???
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! ngoja nikucheke!

yani unauliza halafu unalala?

mi ndo napata lunch ya usiku!

Yayayayayayaa mie huwa silali aisee nipo sema nakuwa multi-tasked tu ndio mana sina mtiririko mzuri
 
Back
Top Bottom