excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Poa... Lete habar za hapa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nzuri...!
Poa... Lete habar za hapa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sana naona watu washaingia bandani
Mambo aje weww? Leo tutakuwa wote hapa till morning?
hahahaaa!! ngoja nikucheke!
yani unauliza halafu unalala?
mi ndo napata lunch ya usiku!
tulieni niwape stori msitingishike!. kulikuwa na binti mmoja anaitwa farkhina alikuwa anataka kuolewa na wakajitokeza wachumba wawili wanataka kumuoa mmoja anaitwa Ngongoseke na mwingine Jerrymsigwa. binti akawa kwenye dilemma kubwa, amuache nani amchukue nani!?. basi akapata wazo la kuwaandalia msosi (ugali wa muhogo na dagaa wa kigoma). ngongoseke hata nusu ya ugali hakufika akasema ameshiba (@jawilat na Valentina wakasema huyu ndo mwanaume). jerrymsigwa alimaliza ugali wote akataka kula na aliobakiza ngongoseke sema mshenga alimkataza.
sasa farkhina akaulizwa umemchagua nani?. akajibu jerrymsigwa!!. mimi49 akapigwa na butwaa akamuuliza dada unachaguaje mume mrafi?. farkhina akamwambia, huyo unaemwita mmrafi atafanya kazi kwa bidii kuleta chakula nyumbani sababu atahitaji kula sana ila huyo sharobaro atakuwa ananilisha mahindi ya kuchoma na juisi ya ukwaju. kusikia hivyo mi na Nambe tukabaki midomo waaazi kwa busara za farkhina.
hahaahahaaa
hakika nimemis mengi kwa utoro lindoni lol..................
Nipo wife kumbe natafutwa,maana kuna hatari yakulala miguuni leo🙁🙁🙁
Wewe!! Huyu Ngongoseke ni mamito?
Nipo nilhamishiwa zamu ya mchana ati usiku naishia ulabuni,,,
sijui ni nani aliniharibia humu ndani jerymsigwa
Hahahaha kwa kubembeleza ama?
aaah farkhina, kushiba sio ishu!
hata mnuso tu ntajisi niko na wewe !
mama mwenyewe kakuona umekua sasa!
hawezi mind tena!
Jaman naumwa jinOoo!