Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
afadhali hata!!! kidogo naona...
Iv uyu mwenzetu hayo masaa mawl anayoondokaga we unahis atakua anaenda wap?
afadhali hata!!! kidogo naona...
Iv uyu mwenzetu hayo masaa mawl anayoondokaga we unahis atakua anaenda wap?
Nipo hapa best aje
itakua ndo mida yake ya kuchanganya dawa!leo itabidi atuweke wazi kwa kweli...
Mmmh cna hata ucingizi leo cjui kwa nini???
Ni poa,lete swaga meen
Si ajabu kashaenda uko,mbona haonekani? Akirudi tum bane atwambie.
na leo hakupikiki wala hakuliki hadi aseme anakoendaga.
Mmmh cna hata ucingizi leo cjui kwa nini???
Yayayayayayaa mie huwa silali aisee nipo sema nakuwa multi-tasked tu ndio mana sina mtiririko mzuri
hayakutiwa nazi. nimeyakumbuka na aliyeyapika yuko 200km toka hapa na sijui aliyapikaje.We hayo makande yako umetia nazi?