Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Tunamtaka dictator haswa kwa mijitu inayoshiba mlungula
1.polepole
2.mtaka
3.Bashiru Ally
4.mpango
Finally, Mtaka. Huyu baba ana maono, ana agenda nzuri na ni mtu ambaye ukipata muda wa kubalishana naye mawazo hutokaa ujutie. Analenga namna ya kutatua changamoto zilizopo ktk jamii
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Samia
Bashe
Mwigulu
Gwajima
January

Hawa Wana vision wengine ni wapiga porojo tuu
 
Huu uzi mmeuchukulia kiutani tajeni watu ambao hawako serikarin wenye uwezo.

Kwa sasa nchi ilipo rais hatakiwi kutoka kwenye mawaziri au hawa wabunge waliopo.

Ingawa prof. Ruhangisa alipata ka skendo ila namjua kichwa chake kiko vizuri, akitulia hii nchi anaweza iongoza.

Sina undugu na wahaya ila prof. Ruhangisa yuko smart sana kichwani.

Kama ulishawahi kutana na huyu mtu au kufundishwa nae chuo. Sema chochote kuhusu mtu.
 
Finally, Mtaka. Huyu baba ana maono, ana agenda nzuri na ni mtu ambaye ukipata muda wa kubalishana naye mawazo hutokaa ujutie. Analenga namna ya kutatua changamoto zilizopo ktk jamii
Ogopa sana watu wenye arrogant,hiyo ni sifa mbaya kabisa Kwa Kiongozi,sana sana huyo aendelee kuwa chini ya amri kwenye ngazi yeyote,yasije yakawa kama ya Jiwe..

Muwe mnawauliza wanasaikolojia wanaweza kuwasaidia kujua viongozi
 
Huu uzi mmeuchukulia kiutani tajeni watu ambao hawako serikarin wenye uwezo.

Kwa sasa nchi ilipo rais hatakiwi kutoka kwenye mawaziri au hawa wabunge waliopo.

Ingawa prof. Ruhangisa alipata ka skendo ila namjua kichwa chake kiko vizuri, akitulia hii nchi anaweza iongoza.

Sina undugu na wahaya ila prof. Ruhangisa yuko smart sana kichwani.

Kama ulishawahi kutana na huyu mtu au kufundishwa nae chuo. Sema chochote kuhusu mtu.
Umenikumbusha Rwanda
 
Kipindi Cha magu Hadi wajumbe wa nyumba kumi walikua wakali na wazalendo kiongozi wa juu akiwa soft wasaidizi hufata hivyo hivyo
Then at the end what did you delivered? Ukali ungekuwa unaleta maendelea wawekezaji wasingekimbia Nchi Wala watu kuacha kuweka hela banks..

Mshukuru Mungu Mwendazake alikufa mngelia Kilio Cha kusaga meno kama zama za kina Sokone na Nyerere
 
Binafsi ninaweza ila Kwa jinsi nilivyowafahamu Watanzania labda Katiba ibadilishwe maana naweza kuwa kama Museveni.
 
Choicevariable anafaa pia akiachana naupigaji
Mimi nafaa ndio na sio moigaji ila siwezi kuvumilia upuuzi wa kupinga Kila kitu naweza kuwa kama Museveni unless muweke Katiba za kudhibiti my power maana ntakachowafanya watu wajinga wajinga watajuta.
 
Back
Top Bottom