Sikuzote wanasema mtunga sheria ndiye mvunja sheria acha tuendelee kuongozwa na mambumbumbu kuliko wasomi maana hapo ndipo tutapigwa mara elfu sabini.Tundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Lisu hafai kua Rais, lisu ni mwanaharakati na kuzijua sheria za kimataifa ama kua nguli hakumsababishi awe Presidential material.Tundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Kuwa nguli kwenye fani yako ni jambo 1 na ukiwa kiongozi ni jambo lingineTundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Nani aliwadanganya kuwa, unaweza kuwa Rais wa Nchi na Usiwe Mwanasiasa.Lisu hafai kua Rais, lisu ni mwanaharakati na kuzijua sheria za kimataifa ama kua nguli hakumsababishi awe Presidential material.
Hayo yote yatawezekana kwasababu urais ni taasisi na Rais anawasaidizi.
Hii nchi inahitaji kiongozi na awe mkali. Hii nchi hafai kuongozwa na mwanasiasa ama mwana harakati.
Nakazia TUNDU A. LISSUTundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Mkuu.....Nani aliwadanganya kuwa, unaweza kuwa Rais wa Nchi na Usiwe Mwanasiasa.
Hiyo alama yq kuuliza (?) Umeiweka sehemu isiyo sahihi. Tukirudi kwenye mada binafsi sioni mtu wa kuliongoza taifa hili ndani ya CCM, nje yq CCM namuona Tundu A. LissuNdani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka
Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka
Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake
Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote
Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie
Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Mimi[emoji3577]Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka