Habari Wana jamii.. Binafsi kulingana na hali inayoendelea Sasa Kuna maswali nimekaa nakutafakari sana..
Ikiwa katiba ya nchi yetu inamtaka raia anaetaka kugombea ngazi ya Raisi.. awe na mwenza wake.
Je katiba inasemaje ikiwa Raisi aliemadarakani amefiwa na mwenza wake?
Nani anatakiwa kumpa Rais rikizo ya maombolezo? Ipo kwa mujibu wa katiba au?
Ni kwa muda gani Rais anatakiwa kumuomboleza mpendwa wake? Ikiwa yupo katikati ya maomboleza na ikatokea kazi inayomuhitaji kilazima inakuaje..
Haya na mengine mengi ni maswali ninayojiuliza sana..
Wataalamu karibuni tueleweshane.