Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,770
- 22,720
5. Albert (albati)1. Dr Bashiru
2. Luhanga Mpina
3. Kishimba
4. Polepole
5. Albert (albati)1. Dr Bashiru
2. Luhanga Mpina
3. Kishimba
4. Polepole
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka
Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka
Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake
Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote
Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie
Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Kwamba mimi sipo Tanzania mkuu?. Nyie komaa tu kumpigia kampeni za kila aina,lakini dunia ya sasa uongozi wa mtu uko wazi tu,kama ni msafi watu wanajua,kama ni mchafu anajulikana tu. Tabia za kiongozi yoyote ziko wazi. Huwezi kuita nyeupe wakati ni nyeusi,ngumu sanaMatrix unachoaminishwa kuhusu hyo jamaa sio kweli ,hana ubaya wowote ni propaganda za kisiasa
Cute wife
Hivi unadhan Mtu akiwa Rais ndio kwamba ana uwezo wa kiuongozi kuliko Watanzania wote???Kwa Tanzania nachojua ili kupata hcho cheo au vyeo vya aina hiyo kuna kuwa na bahati au lazima uwe mnafiki...coz wana siasa wengi ni wanafiki.....mfumo mzima wa kupata viongozi upo corrupt...ni ngum sana kutoboa....mimi mwenyewe naweza ongoza hii nchi ni vile tu sikubaliani na huo mfumoNdio huyu huyu,Hadi dkk hii kwenye historia ukimtoa Nyerere hakuna ambae anaweza mfikia kwenye leadership na delivery,kama yupo mtaje tuweke statistics
Umeonaaeee...! Baada ya kufariki Magu ndio nilipoona yule mwamba alikuwa anaona mbali sana.Hata kwa kuangalia utendaji wa January kwakweli huyu hata usingizini ni big NO.
Nani kasema? Mimi nalinganisha waliopita na hao mnaowapendekeza Sasa shida Yako ni ipi?Hivi unadhan Mtu akiwa Rais ndio kwamba ana uwezo wa kiuongozi kuliko Watanzania wote???Kwa Tanzania nachojua ili kupata hcho cheo au vyeo vya aina hiyo kuna kuwa na bahati au lazima uwe mnafiki...coz wana siasa wengi ni wanafiki.....mfumo mzima wa kupata viongozi upo corrupt...ni ngum sana kutoboa....mimi mwenyewe naweza ongoza hii nchi ni vile tu sikubaliani na huo mfumo
Polepole/ Lukuvi
😅😅kweli fanya utafiti utagunduaKwamba mimi sipo Tanzania mkuu?. Nyie komaa tu kumpigia kampeni za kila aina,lakini dunia ya sasa uongozi wa mtu uko wazi tu,kama ni msafi watu wanajua,kama ni mchafu anajulikana tu. Tabia za kiongozi yoyote ziko wazi. Huwezi kuita nyeupe wakati ni nyeusi,ngumu sana
Dk Musukuma