Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,667 Reaction score 18,543 Jul 17, 2023 #321 Nimempata ni. KIGOMA ALLY MALIMA. MTU JASIRI. MKWELI. MTANGANYIKA HALISI.
Cattigo Senior Member Joined Nov 12, 2016 Posts 194 Reaction score 396 Jul 17, 2023 #322 Kama Pole pole hatabadirika kuwa ndumila kuwili, he can be somebody
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,479 Reaction score 40,120 Jul 17, 2023 #323 Mmewataja wanachama wa CCM ambao kimsingi hawana jipya zaidi ya kuendeleza ujinga ulioshamiri wa kujimilikisha nchi. Rais awe Tundu Lisu Mimi (Msanii ) Mzee Mwanakijiji Nyani Ngabu Hao tu
Mmewataja wanachama wa CCM ambao kimsingi hawana jipya zaidi ya kuendeleza ujinga ulioshamiri wa kujimilikisha nchi. Rais awe Tundu Lisu Mimi (Msanii ) Mzee Mwanakijiji Nyani Ngabu Hao tu